Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Mbona kawaida kwa ccm. Sifa ya kuwa ccm ni lazima uwe mnafiki na mwizi. Sasa uyo uliemtaja kakidhi vigezo vyote.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?


Bila shaka unatumia Internet ya tiGO...
 
Jamaa hakuna athari yoyote kwa mwananchi hili LA sukari hujaoona au una maana ya mwananchi wa wapi

Yaani unataka sisi tuendelee kutumia Sukari kutoka Brazil Wakati tuna Ardhi na watu hawana Kazi ?
Maamuzi ya kuzuia Sukari yalikua sahihi na yenye faida kwa umma. Uhaba wa Sukari kwa Tz umetengenezwa kifisadi na wafanya Biashara wachache kwa kushirikiana na Bodi ya Sukari .
Kumbuka kua hatuna budi kupitia njia ngumu ili kuweza kupata maendeleo .
 
Kuna jambo ila kwa magu wajipange kweli huyu jamaa sio wa mchezo mchezo
 
Kuna jambo ila kwa magu wajipange kweli huyu jamaa sio wa mchezo mchezo
Magu nani? Anaweza kuwa kama Amin, na wala hiyo siyo sifa! Sifa ni kuwa kama Abraham Lincoln, Rais wa marekani aliyeifanya Marekani ikawa kama ilivyo! Hakuua mtu hata mmoja!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ha ha naona bavicha wanarudia ile style ya kutunga hadithi kama zile za safari ya jk kwenda china saa sita usiku akarudi bongo saa 11 alfajiri
 
CCM kwa mafia tactics ndiyo wenyewe.
Huyo Dogo hawezi kuwa kinyume na ile familia iliyomfanya apate iyo nafasi.
 
Kusema ukweli,raisi magufuli hafai kuongoza taifa hili lenye tofauti za imani,makabila na itikadi. Tunajipeleka pabaya sana. Huyu mtu hafai kuwa raisi wa nchi. Ndio hapa sasa tunaona majawabu ya siasa katika kazi maana kama usalama wa taifa wanapotoa ushauri na kuzingatiwa tusingefika hapa,maana vetting ingezingatiwa.

Tumlaumu nani? Kikwete and co. Maana baada ya hapo ndio magufuli akaukwa uraisi huo lakini hakuwahi kufikiriwa.

Kingine, hakuna muda ambao nchi imekuwa more sensitive katika ukanda zaidi kuliko ilivyokuwa nyuma huko kuhusu udini. Naamini pia,siasa zetu za nje pia zinabadilika kwa kile ambacho magufuli haelewi mambo yanavyokwenda. Sio kila kitu kwenye dunia hii aliyoumba Mungu kina make sense. Yeye anataka kufanya vitu sababu vina make sense wakati vingine ni karata na maamuzi ya haraka katka kufanikisha jambo.

Magufuli atatuletea matatizo makubwa kama hatazibitiwa.
 
Back
Top Bottom