Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Mbona kawaida kwa ccm. Sifa ya kuwa ccm ni lazima uwe mnafiki na mwizi. Sasa uyo uliemtaja kakidhi vigezo vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli angemtaja Jina moja kwa moja kuliko jungu ili tujadili kwa mapanaulijuaje kuwa ni makonda?au ndiye nini funguka unajua mengi.
swissme
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
Lizaboni roho inamuuma Cheo kinaenda kwa nairobianSiku hizi Lumumba wanashindana kuleta umbea ili wapande vyeo kimwendokasi.Lizaboni anapitwa kwa umbea sasa hivi
Kwenye mabano ()Makonda huyo pia yumo January Makamba
Eti eeeehKwenye mabano ()
Lizaboni unamkana hata huyuMleta mada umekuwa lini na huruma kwa Rais? Makubwa haya.
Jamaa hakuna athari yoyote kwa mwananchi hili LA sukari hujaoona au una maana ya mwananchi wa wapi
And I hope the system is aware and closely following them up.Serious allegations!
Magu nani? Anaweza kuwa kama Amin, na wala hiyo siyo sifa! Sifa ni kuwa kama Abraham Lincoln, Rais wa marekani aliyeifanya Marekani ikawa kama ilivyo! Hakuua mtu hata mmoja!Kuna jambo ila kwa magu wajipange kweli huyu jamaa sio wa mchezo mchezo
Umeanza kuumbuka, taratibu kitaeleweka tu. Undumilakuwili siyo mzuri mjomba.Mleta mada umekuwa lini na huruma kwa Rais? Makubwa haya.
Yetu masikio.Tutasikia mengi sana