Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.

Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.

Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa
awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.

Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika
usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana
nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako
Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM

Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita.
Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka.
Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.

Mkuu nani huyo?
 
Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.

Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.

Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.

Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM

Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.
Unaongelea mambo ya kampeni kabla ya kuchuja wagombea na kutupilia mbali hilo fisadi lenu? Hasira za kutupiliwa mbali fisadi lenu unazileta Leo?
 
Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.

Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.

Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe h6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.

Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM

Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wew UBe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.
halafu wewe mkenya nairobian mleta mada nilishakukanya Mara nyingi koma kuingilia siasa za Tanzania kamalizeni ukabila wenu Kenya kwanza
 
It is better to remain silent and to be thought a fool than to speak and remove all doubt.
 
Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.

Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.

Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.

Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM

Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.

7825867e1ac657cb1e93731ac120488d.jpg

7401ceb7eb0788c10b7612c4c8257524.jpg

ded21c49fccc602ef273d7ab25785b0b.jpg

53a5e8acc8b14acb651eab93826b9700.jpg

Elimu nzuri hufanyika kwa vielelezo.
 
Ukiona kelele zimekuwa nyingi jua Makonda umewashika pabaya....endelea kiwashika baba
 
We tulia ww wacha nyumba iendelee kuwaka moto kidogo kidogo mpaka watakuja kushituka imekaribia kuungua yote
 
Back
Top Bottom