KARIBU TUNDURU kaskaziniPhillip Mulugo,
Babu Tale
Tabasamu
Joseph Msukuma
Lusinde.
Hao watatu ni standard seven leavers tu
Nawaza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KARIBU TUNDURU kaskaziniPhillip Mulugo,
Babu Tale
Tabasamu
Joseph Msukuma
Lusinde.
Hao watatu ni standard seven leavers tu
Nawaza tu
Mlimshindwa kutetea ubunge wa Ado shaibu subirini maendeleo yasiyo na chama.KARIBU TUNDURU kaskazini
Au Mwana FA na digrii za IFMHahahaaaa........ au Tale tale!
Halafu huyu mtu si alisoma pia mahesabu Chuo Kikuu kwa degree ya kwanza halafu Masters na PhD ndiyo akasoma Chemistry peke yake? Naelewa mziki wa mahesabu ya Chuo Kikuu, watu waache kujadili ujinga. Kusoma mahesabu Chuo Kikuu inabidi kichwa kitulie kwa kiwango cha hali ya juu sanaNgoja nikupe taarifa kidogo. Enzi hizo kama unafaulu vizuri form 4 ulikuwa unachukuliwa moja kwa moja kwenda chuo cha ualimu. Hivyo yeye aljfaulu vizuri ndiyo maana alienda moja kwa moja Chuo cha Ualimu huko Iringa na baada ya hapo akaenda kufundisha then UDSM. Zamani wote waliokuwa wanaenda vyuo vya ualimu lazima awe kipanga mkuu!
Kwa maoni Kama haya tutafika kweli,rudia ulichokiandika alafu utumie akili ya kuzaliwa kutoa maoni ,usitumie akili ya kukariri darasani.Huyu jamaa alipita elimu ya watu wazima.
Imepoteza mwanadamu anaeitwa Saanane
Seminary alipita akafukuzwa sababu ya akili ndogo
Kasoma kwa kisomo cha watu wazima akaenda kua Mwalimu.
Wakati ualimu wanaenda watu hoehae kabisa vichwani (sorry walimu,lets call spade a spade)
Huyu jamaa ni limbukeni wa elimu....He wished he was smart to get elimu like the smartest people he envied growing up..
Hivyo masaa yote anaongelea kuhusu elimu za watu ambazo hata hazina tija yeyote kweny kazi...
Masaa yote anaongelea elimu za watu wengine
This guy is a loser in such a way that,kila anaefaulu shule kwake yeye ni Mungu sababu yeye shule ilimshindaga
Anapenda kujisogeza kwenye vitu ambavyo yeye binafsi alivitafuta hakuvipata hana uwezo navyo maana ubongo mdogo
-Ni kweli kabisa ni maoni sahihi kwako kulingana na jinsi ulivyo.Maoni sahihi kabisa kwangu.
Sio lazima uyapende,infact ni haki yako kuyachukia!
Usitulazimishe tutoe maoni kama unayofikiria wewe ubongoni mwako!
Jamaa yako ana project his own weaknesses za kupata elimu back on his time,leo analamba sana elimu za watu binafsi kama kigezo cha utawala wake yeye binafsi wakati hakuna correlation ya elimu na leadership skills!
Thats the fact!
Kwa jinsi anavyoonyesha kuwa na usongo nae nahisi alijua baada ya kumpitisha.Huyo mbunge c alipitishwa na kamati kuu🚮
🚶🚶🚶🚶
Alishindwa kulinda Kura,ni jukumu la chama na wagombea kudai nakala ya matokeo ,waliridhika hawakupiga kelele za kutosha .Mlimshindwa kutetea ubunge wa Ado shaibu subirini maendeleo yasiyo na chama.
TULIKUWA NAO WENGI WALIOKUWA WAKIJIUNGA NA HIYO KOZI.SIKUWAHI ONA ALIYEENDA "NUSU KOMBI' NA "A" MBILI.WALIKUWA WANAFAULU LAKINI WALIPUNGUKIWA SOMO 1 LA KUKAMILISHA "COMBINATION".Swala halikuwa kukosa ufaulu wa masomo matatu bali kufaulu kwa kiwango cha A+ masomo mawili.
Ndio maana walimu wa zamani hawakuwa mbumbumbu kama hawa wa sasa!
Namfahamu Mwalimu Masaka ambaye baadae alikuja kuwa mhasibu mkuu wa jeshi, alienda Shycom na A ya Commerce na A ya Book Keeping!TULIKUWA NAO WENGI WALIOKUWA WAKIJIUNGA NA HIYO KOZI.SIKUWAHI ONA ALIYEENDA "NUSU KOMBI' NA "A" MBILI.WALIKUWA WANAFAULU LAKINI WALIPUNGUKIWA SOMO 1 LA KUKAMILISHA "COMBINATION".
Combination ipi ilikamilika ? Kuwa na A mbili si tatizo; tatizo alifaulu masomo matatu ya kukamilisha matatu ili ajiunge na "A" level?Namfahamu Mwalimu Masaka ambaye baadae alikuja kuwa mhasibu mkuu wa jeshi, alienda Shycom na A ya Commerce na A ya Book Keeping!
Wewe unazungumzia half combi au tunajadili nini labda?Combination ipi ilikamilika ? Kuwa na A mbili si tatizo; tatizo alifaulu masomo matatu ya kukamilisha matatu ili ajiunge na "A" level?
Rejea mwanzo wa mada "magu Aliunga unga tu hata form six hakufaulu". Uthibitisho ni yeye kujiunga na "nusu kombi" Wakati ule waliokuwa wanachukua nusu kombi ufaulu wao ulionekana wa ovyo ovyo (mpangilio haukukidhi kwenda kidato cha 5! Mfano mtu anakuwa na ufaulu huu: Physics-D,Chemistry-F,Biology-A,Maths-C,Geography-B,Siasa-A,Kiswahili-C,English-D. Ukiangalia hapo combination pekee iliyokaa vizuri ni PGM.Lakini kwa ufaulu wa wakati ule mwenye ufaulu huo asingechaguliwa. Hivyo option ilikuwa ama asome "PM,BM,PB,BG + UALIMU". kwa vile kiunganishi "Chemistry" kiligoma. Wachache sana walikuwa wana-opt kwenda chukua nusu kombi. Hii ndiyo sababu ya magu kudaiwa "aliunga unga",hakuwa "kipanga" kama anavyowaita waliofaulu kwa madaraja ya juu!Wewe unazungumzia half combi au tunajadili nini labda?
Kulikuwa na kitu inaitwa CA education 3 years!
Ukitoka hapo unaweza kwenda kupiga NAD 1&2 pale DSA kisha unafunga kazi na CPA
Au unaenda kupiga ADA pale IFM au ADCA pale IDM Mzumbe!
UDSM imezalisha mafisadi wengi tuichunguze pia kuna nn kinaendelea huko?Mwigullu Nchemba kasoma pale Udsm na akina Tundu Lisu na Zitto Kabwe!
Hahahaaaa.........!UDSM imezalisha mafisadi wengi tuichunguze pia kuna nn kinaendelea huko?