Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Waliokuwa wanajiunga vyuo enzi hizo walikuwa hawana ufaulu wa masomo matatu,hivyo walijiunga kwa kilichoitwa "half combination".Jiwe alipungukiwa sifa hiyo na kwenda kwa"nusu kombi".
Swala halikuwa kukosa ufaulu wa masomo matatu bali kufaulu kwa kiwango cha A+ masomo mawili.

Ndio maana walimu wa zamani hawakuwa mbumbumbu kama hawa wa sasa!
 
Lingekuwa bunge la 2015 ingekuwa rahisi kumtambua ila hili la mbeleo za wizi wa kura ni vigumu kujua mwenye vtmteti fake ila 30% ni vyeti fake
 
Uwe msomi au usiwe,cha msingi ni kuwa mwaminifu,mchapa kazi.wapo wabunge ambao hawana hata darasa la 4 lakini ni waaminifu,wapenda maendeleo,hawapendi ujanja ujanja.ndio maana baba wa taifa aliwaweka akina kawawa.
 
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Wala usimtetee Magu. PhD yake ya maganda ya korosho ni plagiarism
 
Wala usimtetee Magu. PhD yake ya maganda ya korosho ni plagiarism
Kwani wewe maganda ya korosho unayajua yana nini ndani yake? Unaelewa organic synthesis from plants. Naomba niambie kwenye maganda ya korosho kuna kemikali gani na kazi yake ni ipi, na ni kwanini international standard organization wanataka tutumie kemikali zinatoka kwenye mimea?
 
Mbowe hana vyeti FAKE kama vya huyo anayejiita mwendawazimu masters FAKE Phd FAKE lakini anazungumza Kiswahili fasaha na pia ana uwezo wa kuzungumza popote pale duniani akaeleweka siyo huyo anayeogopa kutoka nje ya Nchi kwa sababu lugha HAIPANDI.

Hivi elimu ya Mbowe ikoje mbali ya kuwa Dj na mwenye SACCOSS.
 
Kwani wewe maganda ya korosho unayajua yana nini ndani yake? Unaelewa organic synthesis from plants. Naomba niambie kwenye maganda ya korosho kuna kemikali gani na kazi yake ni ipi, na ni kwanini international standard organization wanataka tutumie kemikali zinatoka kwenye mimea?
Kwani umesoma point yangu ukaielewa? Au unakurupuka kama pimbi? Sijabisha content za PhD bali nimesema ni tunda la PLAGIARISM.

Plagiarism is the representation of another author's language, thoughts, ideas, or expressions as one's own original work. In educational contexts, there are differing definitions of plagiarism depending on the institution.
 
Ngoja nikupe taarifa kidogo. Enzi hizo kama unafaulu vizuri form 4 ulikuwa unachukuliwa moja kwa moja kwenda chuo cha ualimu. Hivyo yeye aljfaulu vizuri ndiyo maana alienda moja kwa moja Chuo cha Ualimu huko Iringa na baada ya hapo akaenda kufundisha then UDSM. Zamani wote waliokuwa wanaenda vyuo vya ualimu lazima awe kipanga mkuu!
Mara nyingi ambao combinations ya Alevel iligoma wengi Div2&3,walikuwa wanachukua halfcomb eg physicsmath (PM)kiswahililangauge (KL) miaka 3 unakuwa mwalimu wa Olevel.mkwawa pekee ndio ilitumia mfumo huu.Mwaka 1993,mafunzo ya diploma yaliamishiwa Arusha sikumbuki chuo gani.
 
Bora angekaa kimya kimya tu,unaona sasa mambo ya Ben Saanane yamefukuliwa,halafu mbona Bashite alimng'angania hivyo hivyo na vyeti yake feki?
 
Ben saanane alivyo hoji PHD ya magufuli alimuua,

Kama yeye basi ni msomi mbona hata kuongea sentence mbili za kiingereza, hawezi?? Mbona ameshindwa kuongoza nchi? uchumi unaelekea kufa , huku akiwa ametriple deni la taifa?
 
Endelea kumlamba makende, anaweza kukugea ka uwaziri wa mifugo
 
Back
Top Bottom