Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Hizo ishu za vyeti feki ingeenda kwa haki ilipaswa ianze kuanzia juu kabisa kushuka....tungejionea maajabu mengi
 
Hizo ishu za vyeti feki ingeenda kwa haki ilipaswa ianze kuanzia juu kabisa kushuka....tungejionea maajabu mengi
Na wakati ikishuka, ingefika kwa Bashite, ishu ingekufa hapo hapo!
 
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Unajua kwanini Ben Saanane "Dead and disappeared" ? Uliwahi kupitia "SPANA" zake kuhusu Elimu ya Kimagumashi ya JIWE? Unajua kwanini alipotezwa/uwawa?
 
Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.

Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.

Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?

Maendeleo hayana vyama!
Nape nauye
 
Back
Top Bottom