King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Yeye vya kwake sio vya ujanjaujanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kua mjinga na mbumbavu elimu Raisi wetu john pombe Magufuli sio ya mashaka nenda UDSM utaonaYeye vya kwake sio vya ujanjaujanja .
Huyo elimu ni majingu, kama ilivyo ya Msukuma!Hao wengi Sana wamejaa bungeni, hivi lusinde elimu yake ikoje?
Kahurumie haka ka askofu feki kalifukuzwa kana ishi kwa utapeli townWewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Bwashee vp Jiwe na PhD yake?Mwigullu Nchemba kasoma pale Udsm na akina Tundu Lisu na Zitto Kabwe!
Phillip Mulugo,Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?
Maendeleo hayana vyama!
Siyo kweli, Jiwe kamtoa roh yuke saa tisa kisa tu kahoji elimu yakeHapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
Njoo nikukate kichwa Sasa nadhani muda ndio huu.Yani nyani haoni mqoundou wake.
Sasa unalia nini mkuu? Au wew ndiye jiwe mwenyewe nini! Ben saa 8 aliwahi kulifatilia hilo natumai unajua lililomkutaWewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Mpuuzi zaidi ni wewe na yule anayejidai kutilia shaka elimu za wenzake wakati mwenyewe PhD fakeMpuuzi wewe
shule ya jpm iko vizuri hahahahaa na udokta wake hajui tamka maneno ya kiingereza uelewa wake wa dunia pia ni mashaka matupuHapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
Ubwaaa wewe,kilaza wa ccmMpuuzi wewe
Jah peoplePhillip Mulugo,
Babu Tale
Tabasamu
Joseph Msukuma
Lusinde.
Hao watatu ni standard seven leavers tu
Nawaza tu