Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Halafu huyu mtu si alisoma pia mahesabu Chuo Kikuu kwa degree ya kwanza halafu Masters na PhD ndiyo akasoma Chemistry peke yake? Naelewa mziki wa mahesabu ya Chuo Kikuu, watu waache kujadili ujinga. Kusoma mahesabu Chuo Kikuu inabidi kichwa kitulie kwa kiwango cha hali ya juu sana
 
Kwa maoni Kama haya tutafika kweli,rudia ulichokiandika alafu utumie akili ya kuzaliwa kutoa maoni ,usitumie akili ya kukariri darasani.
 
-Ni kweli kabisa ni maoni sahihi kwako kulingana na jinsi ulivyo.
-Ni kweli kabisa sio lazima niyapende maoni yako na sijayapenda.
-Sikuchuki kwa sababu sio wajibu wangu kukuchukia.
-Sio jamaa yangu Wala ndugu yangu bali ni Rais wangu kwa mujibu ya Katiba ya nchi.
-Kuna uhusiano ya elimu na uongozi ,tatizo hujui kutofautisha elimu na taluma gani itumike katika uongozi gani.
 
Mlimshindwa kutetea ubunge wa Ado shaibu subirini maendeleo yasiyo na chama.
Alishindwa kulinda Kura,ni jukumu la chama na wagombea kudai nakala ya matokeo ,waliridhika hawakupiga kelele za kutosha .
 
Swala halikuwa kukosa ufaulu wa masomo matatu bali kufaulu kwa kiwango cha A+ masomo mawili.

Ndio maana walimu wa zamani hawakuwa mbumbumbu kama hawa wa sasa!
TULIKUWA NAO WENGI WALIOKUWA WAKIJIUNGA NA HIYO KOZI.SIKUWAHI ONA ALIYEENDA "NUSU KOMBI' NA "A" MBILI.WALIKUWA WANAFAULU LAKINI WALIPUNGUKIWA SOMO 1 LA KUKAMILISHA "COMBINATION".
 
TULIKUWA NAO WENGI WALIOKUWA WAKIJIUNGA NA HIYO KOZI.SIKUWAHI ONA ALIYEENDA "NUSU KOMBI' NA "A" MBILI.WALIKUWA WANAFAULU LAKINI WALIPUNGUKIWA SOMO 1 LA KUKAMILISHA "COMBINATION".
Namfahamu Mwalimu Masaka ambaye baadae alikuja kuwa mhasibu mkuu wa jeshi, alienda Shycom na A ya Commerce na A ya Book Keeping!
 
Namfahamu Mwalimu Masaka ambaye baadae alikuja kuwa mhasibu mkuu wa jeshi, alienda Shycom na A ya Commerce na A ya Book Keeping!
Combination ipi ilikamilika ? Kuwa na A mbili si tatizo; tatizo alifaulu masomo matatu ya kukamilisha matatu ili ajiunge na "A" level?
 
Combination ipi ilikamilika ? Kuwa na A mbili si tatizo; tatizo alifaulu masomo matatu ya kukamilisha matatu ili ajiunge na "A" level?
Wewe unazungumzia half combi au tunajadili nini labda?

Kulikuwa na kitu inaitwa CA education 3 years!

Ukitoka hapo unaweza kwenda kupiga NAD 1&2 pale DSA kisha unafunga kazi na CPA

Au unaenda kupiga ADA pale IFM au ADCA pale IDM Mzumbe!
 
Rejea mwanzo wa mada "magu Aliunga unga tu hata form six hakufaulu". Uthibitisho ni yeye kujiunga na "nusu kombi" Wakati ule waliokuwa wanachukua nusu kombi ufaulu wao ulionekana wa ovyo ovyo (mpangilio haukukidhi kwenda kidato cha 5! Mfano mtu anakuwa na ufaulu huu: Physics-D,Chemistry-F,Biology-A,Maths-C,Geography-B,Siasa-A,Kiswahili-C,English-D. Ukiangalia hapo combination pekee iliyokaa vizuri ni PGM.Lakini kwa ufaulu wa wakati ule mwenye ufaulu huo asingechaguliwa. Hivyo option ilikuwa ama asome "PM,BM,PB,BG + UALIMU". kwa vile kiunganishi "Chemistry" kiligoma. Wachache sana walikuwa wana-opt kwenda chukua nusu kombi. Hii ndiyo sababu ya magu kudaiwa "aliunga unga",hakuwa "kipanga" kama anavyowaita waliofaulu kwa madaraja ya juu!
 
Hata walio ibia mitihani Drsani ni fake!!! ukifuata u fake!! fake!! utajikuta hata weye mwenyewe ni fake tu!! mke fake! watotot wako fake tu!! wote ni watoto wa Mayanga rafiki yako mkubwa!!

Mwishowe unakuwa kichaa!! ngoja atoke madarakani kwa mara ya kwanza Raismstaafu anapewa makashkash!!
 
Sirikali za kimaskini ndo hivo na akili zao ni maskini tu, wana mambo meeengi ya kukomoa watu!!! iko siku watasema wanaume wenye vibamia wanyanganywe wake zao wapewe wenye mishedede!!!

Ma tz ni majinga yataunga mkono!!! bora Mange kimambi kaanza mbele huko na familia yake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…