Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
KupangiwaWewe utakuwa unaogopa kuondolewa unakuja kuandika humu..
Sasa tutashuhudia matamshi mengi sana ya uvccm wakigombea kuteuliwaMuda wowote kuanzia sasa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatarajia kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi nchini ikiwa ni pamoja na kujaza nafasi za wazi katika wilaya husika na halmashauri husika. Katika mabadiliko hayo vijana wengi na sura mpra zinatarajiwa kuingia.
Stay tuned....
Muda wowote kuanzia sasa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatarajia kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi nchini ikiwa ni pamoja na kujaza nafasi za wazi katika wilaya husika na halmashauri husika. Katika mabadiliko hayo vijana wengi na sura mpra zinatarajiwa kuingia.
Stay tuned....