Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Kusema hivi Tusubiri wana ccm wengi kuja na matusi kedekede kuelekezwa upinzani pamoja na sifa zisizo na kifani kwa bwana mkubwa. Wapi mpendazoe, Jerry mulo, patrobas katambi, musiba, na wengine wenye sura kama hiyo! Huu ndo muda wenu wa kuja kutema cheche zenu.
 
Baba Yetu uliye mbinguni,ufalme wako uje,utakalolifanyike huku Duniani kama huko mbinguni,Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamahe waliotukosea, utupatie riziki yetu,usitutie majaribuni bali utuepushe na yule mwovu shetani,

Umkumbuke na Tumbili Kafullila,Machali,Patrobas,Mwigamba,J Murro, Msando, Lemtusi, Afande Sele, Masha,Musiba, nami wa Mzalendo baba.
Kwa kuwa inawezekana kwa kila aaminiye
amen
 
ila maisha yetu yatabaki kuwa kama yalivyo.. mabadiliko yake ya mwalimu wa secondari yana tija kwa watu wanaomzunguka tu basi
 
Back
Top Bottom