Kapustakasha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 248
- 423
Vijana wengi wametuangusha sana.Katika uteuzi wao uangalifu mkubwa unahitajika.Ingekuwa vema na busara kama wangewekwa kwenye lower positions kwanza halafu wakapandishwa pole pole.
Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM hawana heshima mbele ya jamii. That is the biggest blunder alilofanya JPM. Hata abadilishe wote hawa kuwa vetted na wala formula ya kuwateua halkuna na wengi were rejects kutoka kwenye kura za maoni na wana kiherehere. Kwa walifika jela ni Ibora ya Nyapara kuliko kiherehere !Anapaswa arekebishe Makosa. Wakurugenzi ambao ndio CEO wa hizo Wilaya ni lazima wawe wataalam waliobobea na taaluma iwe ni kigezo. Over-site inayofanywa na Makada ni fyongo ndio maana mambo hayaendi. All professors and PhD holders warudi kufundisha na kufanya research kwenye vyuo. Makatbu Wakuu huwa wanaandaliwa na wanapaswa kupitia National Defence College hao aliowateua from
Left and right kama akina Kitila Mkumbo hata kusimamia policy formulation hawajui? Mawaziri ni politician and the tenure depends on been elected turudi kwenye Katiba ya wananchi Cabinet Secretaries CS ni lazima wawe wtaalam kwenye sekta husika? Dawa is to go back to
Square One and fine tune the policies badala ya matamko yaliyopo hayana hata utekelezaji! Hata Katibu Tawala amechanganya wengine ni kama adhabu hawalingani sifa! How do you appoint a carrier cop like the former DCI kuwa Katibu Tawala? Hadhi yao ni almost sawa na Katibu Mkuu but look at their qualifications it’s diverse and they can’t speak the same language hapa kazi tu!