Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Le mutuz, Msiba, Jerry muro mzee wa Nissan nyeupe wameandaliwa vyeo ndiyo wanamsukuma Mtukufu kufanya mabadiliko.
sishangai maana mtoa rushwa alipandishwa cheo hadi kuwa mkuu wa mkoa
 
Utaratibu wa zamani ndio suluhisho wa kuwapandisha vyeo wafanyakazi ndani ya wizara husika badala ya kuleta makada wa ccm na kuwapa nafasi za u-DED wakati hawajui chochote. Hii imeleta utendaji kuwa mbovu sana sana ktk halmshauri zetu.
 
Muda wowote kuanzia sasa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatarajia kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi nchini ikiwa ni pamoja na kujaza nafasi za wazi katika wilaya husika na halmashauri husika. Katika mabadiliko hayo vijana wengi na sura mpra zinatarajiwa kuingia.

Stay tuned....
So what ??Ni kwa interest zake binafsi labda kuna watu wake aliwasau.Chanzo cha maisha magumu ni sera zake za kutufanya tuishi km mashetani.Kila mtu alikua mpiga dili utafikiri yy katoka mbinguni
 
Utaratibu wa zamani ndio suluhisho wa kuwapandisha vyeo wafanyakazi ndani ya wizara husika badala ya kuleta makada wa ccm na kuwapa nafasi za u-DED wakati hawajui chochote. Hii imeleta utendaji kuwa mbovu sana sana ktk halmshauri zetu.
Aisee kumbe usipokula pilipili nyingi unakua na ufahamu
 
Wauwaji wanaachwa wanaojiendesha kwa kufuata sheria za nchi ndio wanaondolewa,,,,huu utawala mungu tu ndo anaetulinda.
 
Mwambie asirudishe tena wakurugenzi makada. Otherwise atamtambua MK tarehe 26/4
 
Bila shaka yule bwana aliyetutajia maadui hatari kabisa wa Taifa pamoja na Murro watakumbukwa
 
kafulila nafasi hiyooooo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom