Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Muda wowote kuanzia sasa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatarajia kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi nchini ikiwa ni pamoja na kujaza nafasi za wazi katika wilaya husika na halmashauri husika. Katika mabadiliko hayo vijana wengi na sura mpra zinatarajiwa kuingia.

Stay tuned....

Kama katika uteuzi huu Mtangazaji ' kimbelembele ' na bingwa wa ' kujipendekeza ' Bwana Hassan Ngoma akikosekana basi akaoge maji ya kutoa ' nuksi ' Kwao Makanya Upareni Mkoani Kilimanjaro.
 
Rais kama kweli unasoma humu JF na hao washauri wako! Naomba usome huu ujumbe wangu na kuufanyia kazi kama itakupendeza.

Ni kwamba Mh. Rais kuna watu wameitumikia CCM miaka na miaka wamejitoa na wanasifa naomba uwachugue hao. Naomba usihangaike na akina Afande et.al.
Ha ha ha ha ha haaaaa.... mambo vipi malkia wa nguvu.?
 
Litakuwa jambo jema na la busara akifanya hivyo!

Wakurugenzi makada wenye kuwaza future zao za kisiasa badala ya kuwaza maendeleo ya wananchi wanamuangusha JPM, ni jambo la kheri akateua wengine bila kuwa na kigezo cha uvyama!. Tanzania ni yetu sote!!
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
Na wanayofanya ktk maeneo yao ya kazi ni uhuni na upuuzi mtupu.
 
Magufuli Njoo PM unichague Mkurugenzi wa Temeke au manispaa yoyote baba
Nina elim ya kutosha, uwezo pia.

Ila mimi ni wa kaskazini, ukinichagua basi kaskazini yote itakukubali
 
kila la heri, kuja kutahamaki 2020 hiyo. mwisho wa siku hakuna walichodeliver
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
Le mutuz, Msiba, Jerry muro mzee wa Nissan nyeupe wameandaliwa vyeo ndiyo wanamsukuma Mtukufu kufanya mabadiliko.
 
Back
Top Bottom