Tetesi: Rais Magufuli kutangaza uraia pacha akifunga kongamano la siku mbili la diaspora hapa Zanzibar!

Tetesi: Rais Magufuli kutangaza uraia pacha akifunga kongamano la siku mbili la diaspora hapa Zanzibar!

Status
Not open for further replies.
Kwani uamuzi wa uraia pacha linaamua bunge au rais Magufuli.?
 
Urais ni suala la katiba na kisheria hawezi kutoa tamko bila kubadilisha katiba na sheria kwanza.
Leo ndio ataijua katiba?? Katiba itamfata yeye , chezea mtakatifu ww!!
 
Tunataka zanzibar yetu sio mambo madogo ya kipuuzi kama hayo
 
Tunasubiri kama atalikurupukia na hilo nalo!! Mmemlisha kasa au ameelewa faida na hasara zake na kwa nini aliemtangulia alikuwa anasita siku zote?? Au ndio anaingizwa machaka tu kila siku!!! Twasubiri
 
Jee wazanzibongo yaani wazanzibari wakimbizi wa uchumi na madhilia ya mazombi wanao ishi Tanzania Bara jee nao ni Diaspora ? Jee wamealikwa nao?
Ukiangalia kimazingira hakuna tofauti kubwa kati ya wale walioko canada au UK na hawa waliopo Bongo.
Wote hapigi kura
Wote hawawezi kumiliki mali, as sharti use na Zan ID ambayo wazanzibongo hawapewi
Wote hawapati kazi za serikali
Tofauti ji passport tu basi....
Jee hawa Wazanzibongo hawaingii katika category ya Diaspora ? Wajuzi wayujuze
 
Huu mjadala ulishafungwa, hamna masual ya dual citizenship! The issue is dead and buried.
 
Eeee..he! Kikao kinafunguliwa na ALHAJI shein, kinafungwa na POMBE makufuriii...!
 
hakuna lolote ni gongamano la miccm basi kupoteza time tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom