Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnufaika wa mbio za mwenge naona povu linakutoka.Ifike wakati tuanze kuulizana vyeti vya kuzaliwa maana wenzetu wengine uraia wenu unatia mashaka sana haya mwenge nao umekukosea nini; hivi umewahi kujiuliza sababu zake kwanza za kuanzisha mbio za mwenge au unadhani akina nyerere walikuwa hawana akili timamu. Watu tu wanaacha kuweka symbolism muhimu katika hizi ritual ndio maana wengine mnaleta madharau.
Baada ya Rais John P. Magufuli kubadili na kuokoa fedha kwenye sherehe za Uhuru na Muungano,sasa Mwenge wa Uhuru uko njiani kutumbuliwa. Taarifa za kishushushu zinaonesha kuwa tayari Rais Magufuli ameitisha faili la Mwenge huo na kupata maelezo ya kutosha na kutisha kuhusu Mwenge huo.
Taarifa zinaonesha kuwa Rais Magufuli ameguswa na kutikiswa na matumizi makubwa yanayofanyika wakati wa mbio za Mwenge nchi nzima. Rais anapanga kutumbua Mwenge huo ambao sasa ni kero badala ya kuwa hero hapa nchini.
Wangapi wanaafiki bila unafiki?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Utakuwa wa kwanza kuja tena kulaumu kwanini katuondolea historia yetu.Baada ya Rais John P. Magufuli kubadili na kuokoa fedha kwenye sherehe za Uhuru na Muungano,sasa Mwenge wa Uhuru uko njiani kutumbuliwa. Taarifa za kishushushu zinaonesha kuwa tayari Rais Magufuli ameitisha faili la Mwenge huo na kupata maelezo ya kutosha na kutisha kuhusu Mwenge huo.
Taarifa zinaonesha kuwa Rais Magufuli ameguswa na kutikiswa na matumizi makubwa yanayofanyika wakati wa mbio za Mwenge nchi nzima. Rais anapanga kutumbua Mwenge huo ambao sasa ni kero badala ya kuwa hero hapa nchini.
Wangapi wanaafiki bila unafiki?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Na moshi wake unaharibu mazingira kwa kuzalisha hewa ya ukaaHuu mwenge ndio chanzo kikuu cha maambukizi ya ukimwi
Nasubiri!Mmmh!!huo uchawi wao ccm sijui kama watakubali utumbuliwe
Baada ya Rais John P. Magufuli kubadili na kuokoa fedha kwenye sherehe za Uhuru na Muungano,sasa Mwenge wa Uhuru uko njiani kutumbuliwa. Taarifa za kishushushu zinaonesha kuwa tayari Rais Magufuli ameitisha faili la Mwenge huo na kupata maelezo ya kutosha na kutisha kuhusu Mwenge huo.
Taarifa zinaonesha kuwa Rais Magufuli ameguswa na kutikiswa na matumizi makubwa yanayofanyika wakati wa mbio za Mwenge nchi nzima. Rais anapanga kutumbua Mwenge huo ambao sasa ni kero badala ya kuwa hero hapa nchini.
Wangapi wanaafiki bila unafiki?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Sio kweli leo mikoa yote imeagizwa kuanza zoezi hilo .Safi sana [kama ni kweli].