Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Hana analoweza yeye ni raisi wa Tanzania mpaka leo kwa sababu watanzania ni MAITI WANAOTEMBEA.
mfno. Siku ya sikukuu ya wafanyakazi wahudumu wa afya waliufyata kama hakuna CORONA badala ya kudai vifaa vya kujikinga PPE wanampongeza raisi aliyemafichoni?
Hapa hata aden rage wa simba anaweza kuwa raisi wa nchi tu
VINGINEVYO HUYO ANGEAMBIWA AONDOKE NCHI IMEMSHINDA.
SUKARI INAMUHUSU KILA MTU LAKINI WABONGO NI KAMA HAKUNA LINALOTOKEA WAPO KIMYAA BURDAN KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa sentenso yako ya kwanza imenifanya niwafikirie sana wazazi wako!!!
 
Ila hapa penye sukari ni lzm kiki itatafutwa ili kuzima misskiki kutokiki kwenye corona
Sukari imesha mpiga za uso lazima atafute pa kutokea..
IMG-20200510-WA0009.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASHITE ana mtambo wa wa kugundua sukari imefichwa wapi, anasubiri mumuimbie nyimbo za sifa na kumtukuza utasikia nimekamata Tani Mia tano za sukari kwenye msitu wa Mabwepande
 
Kuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.

Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.

Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.

Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.

Tanzania bila udicteta inawezekana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo hawezi kwa sasa anaelewa Corona inechangia ucheleweshaji wa mzigo bandarini pia hali ya mvua kubwa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom