Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
wana mihemko sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karne yay 21 ukikuta kiongozii anaamini kwenye mabavu kuliko matumizi ya akili ujue hawezi toboa. MAGUFULI anategemea mabavu ona alivyojaza wanajeshi kwenye taasisi za umma kuanzia PCCB Mpaka magereza . Akidhan nguvu zingesaidia kumbe wapi? Kila kitu kimekwenda shaghalabaghala kakimbilia CHATO FCSukari chali? Corona chali?SGR chali?Stiegersgorge chali ? Uchumi wa Kati utatufikisha kweli?Ndoto za mchana.
Hana tena huyu rumuumba, hata hiri swari kariokota tu muraGood questions ningekua Mimi Rais ningejua mda ambao viwanda hufungwa kwa ajili ya matengenezo, na pia ningejua kuwa mvua zikiwa nyingi viwanda vya sukari hufungwa! Kwa hiyo ningetangaza tender kwa waleta sukari tuagize sukari kutoka Brazil kabla ya stock yetu haijakaribia kuisha, una swali lingine nikusaidie? Linalo husiana na ningefanya nini Kama Rais?
Huu ni unabii na utatimia tuKuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.
Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.
Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.
Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.
Tanzania bila udicteta inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapelekewa katoni tano za mizizi ya madagascar na anazibugia kwelikweliKajificha porini sasa ivi..
Muoga zaidi ya fisi..
Nasikia muda wote anasoma twitter maana huko anabamizwa kisawasawa na akina kigogo.
We unauliza wapi 5000/=? Mimi Binafsi nimenunua kilo 6000 maduka kibao ya Tabata Segerea mpaka Kimanga huko bei ni hiyo kama hutaki hawana shida naweWapi huko wanauza shilingi 5,000?
Hana analoweza yeye ni raisi wa Tanzania mpaka leo kwa sababu watanzania ni MAITI WANAOTEMBEA.Kuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.
Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.
Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.
Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.
Tanzania bila udicteta inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Je kuhusu Corona? Hujasema.
Ahsante. Je kuhusu Corona? Hujasema.
Rage sio [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] mzeee umechoka kabisa hahahahaHana analoweza yeye ni raisi wa Tanzania mpaka leo kwa sababu watanzania ni MAITI WANAOTEMBEA.
mfno. Siku ya sikukuu ya wafanyakazi wahudumu wa afya waliufyata kama hakuna CORONA badala ya kudai vifaa vya kujikinga PPE wanampongeza raisi aliyemafichoni?
Hapa hata aden rage wa simba anaweza kuwa raisi wa nchi tu
VINGINEVYO HUYO ANGEAMBIWA AONDOKE NCHI IMEMSHINDA.
SUKARI INAMUHUSU KILA MTU LAKINI WABONGO NI KAMA HAKUNA LINALOTOKEA WAPO KIMYAA BURDAN KABISA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu corona! Ningeweka maabara kila Kanda badala ya kusubiri kila kitu kiwe tested dar! Kila border ningeweka strictest measure na ku deploy wanajeshi yaani kila anayeingia anaenda karantini 14 days! Kila mtu kutokana na hadhi yake! Kama una hadhi kubwa it means utaji lipia Kama huna then itakuwa under government karantini, pia kila moo
Kuhusu Corona, maabara ingekua kila Kanda badala ya dar peke ake, wanajeshi ninge wa deploy border post zote kwa ajili ya strictest measures wanaoingia wazifate, PPE, Ventilators na ICU bed ningenunua nyingi Sana, ningeajili ma Dr zaidi maana tuna uhaba wa ma Dr! Kila mkoa Tanzania una base yya jeshi na Wana maeneo makubwa mno huko ningewapeleka wagonjwa kwa kujenga stand in mahema kwenye viwanja vya jeshi!
Kila anayeingia angeenda karantini for 14 days! Ninge reserve hotel kwa wale wenye uwezo mkubwa wangejilipia Ila kwa wale wasio na uwezo ningewalipia, role model yangu ingekua nchi ya South Korea.
Unaweza sema hela ningepata wapi? Ningetumia grace period ya madeni almost tsh 700 billions kwa mwezi ningewekeza huko. Lkn pia BOT ingetoa muongozo kwa banks zisaidie kipindi hiki kwa kutoa gracing period at least ya six months, ningekopa IMF kujilinda na impacts za kulegea kwa uchumi!
Kwenye afya ningezungukwa na watu wabobezi wa afya, kwenye uchumi ningezungukwa na watu wanaojua uchumi practically siyo hawa ma professor wa theories! Unaona Mauritius ni mfano mwengine wa kuigwa! Ningegawa mask bure, tungeweka sanitizer kila inapobidi, boy! Mbona inawezekana! Challenge kubwa ni moja tuu nayo ni porous border zetu zilivyo, ndo maana mwanzo kabisa nikisema huko naweka wanajeshi for discipline. Na pia ningekua Ikulu mda wote kwa sababu General huwa anakuwa uwanja wa mapambano ambayo Mimi ofisi yangu ni Ikulu na siyo home house. Tupia lingine Kama unalo swali!
Unamtetea mbunge wako!Kuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.
Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.
Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.
Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.
Tanzania bila udicteta inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kila kitu unapongeza,uzuri wewe ni mtoto wa mama kula kulala,ugumu wa maisha wanayipitia wazazi wako hujui,na hata bei ya sukari hujui unaletewa chai mezani.Wahujumu uchumi wajiandae
Yule jamaa ni wa kwao hivo hawezi tumbuaKuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.
Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.
Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.
Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.
Tanzania bila udicteta inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimekuelewa vizuri, una mawazo mengi pamoja na:-
1) Ungehimiza importation ya sukari mapema, na si kuwa na stock ya kutosha kwenye reserve ya taifa kwa matumizi wakati wa scarcity.
2) Ungepeleka Majeshi kwenye mipaka yote. Mgonjwa wa kwanza wa Corona Tanzania aliingilia mpaka gani? Wagonjwa walio Dar Es Salaam wamekuwa infected kutoka mkoa gani wa mpakani?
3). Ungeleta shehena ya ventilators na vitanda vya ICU!. Ni kwa namna gani hizi zinapunguza maambukizi? Ni wagonjwa wa ngapi wa COVID wamekosa vitanda ICU ama ventilators? Unafuatilia habari kutoka Italy kwamba ni kwa kiasi gani Ventilators and ICU ziliokoa uhai wa wagonjwa? Ni wagonjwa wangapi Tanzania wamepoteza maisha kwa COVID 19 kwa kukosa ventilators nd vitanda vya ICU?
4). Ungepeleka wagonjwa wa Corona kwenye military bases!. Mhhhhhhhhhh!.
5).Unge hedge economic impacts kwa kukopa fedha IMF! Ni kwa namna gani Corona cases kwa matiki ya mkakati wako ingeathiri uchumi na kutatuliwa kwa mkopo wa IMF?