paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Huku niliko tangu juma pili sukari ni shida, na mpaka Leo hakuna kabisa sukari, watu wanaishije?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzake wa SADC Wanamtafuta
Moja ya vitu vilivyomshinda Magufuli ni suala la sukariNajiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Aliyeuliza swali nimemuelekeza sehemu anayoweza kupata sukari kwa hapa DSM
Mimi sio JPM au mwakilishi/mfuasi wake,nimemjibu aliyekuwa anahitaji sukari hapa DSMMkuu, hapa Mimi ni mshabiki wa JPM Sana!! Ila katika hili, sipepesi macho mkuu, hapana, mbona sukari ni tatizo na hakuna maelezo? Ina maana watu wote wa Dar wawe wanaenda kununua sukar ShopRite mlimani siyo?
mpumbavu ni wewe na ukoo wako hili tatizo huwa linajitokeza zaidi vipindi vya mfungoUlivyompumbavu unadhani sukari imeadimika kwajili ya kuwakomoa walioko kwenye mfungo.
Hili tatizo limekuwepo toka awamu ya tano imeingia madarakani kila kitu kimekuwa cha kubahatisha bahatisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wanufaika wa kodi zetu na si waathirikaLeo nimezunguka sehemu kibao kutafuta sukari hakuna. Watawala hawajui demand and supply? Hata kama Serikali inatakiwa kuingilia ila sio kurukia.
This look like failed state, serikali inaongozwa na mabumunda?
Hawazalishi ila wanalazimisha bei elekezi.
Sitaki kuonge sana but we are doomed.
Lawama zote kwa JK na Mkapa. Na pia TISS tutawalaumu mpaka kufa.
Ngoja Mwezi October mwaka huu ndiyo uwe na sauti ya kusema ila usije ukalalama tu.Najiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
huko huwa hakuna shida kama za huku
Kwani awajui alipo.Wenzake wa SADC Wanamtafuta
Hujaelewe mbwigaaHakuahidi kupambana na ishu ya sukari. Hilo ni jambo la waziri na lilisumbua tangu enzi za awamu ya kwanza sema wewe ulikuwa bado kwenye kiuno cha mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mirija ya nn wewe acha kuleta sweeping statment zako hapa ..Kwani hao waliopita pia si mlikua mnalalmika kilasiku au we ni mmoja wao waliofungiwa mirija
Imepotea mitaani hakuna pamoja na vitimbwi vyote vya kina sabayaSukari imefanya nini?
Kwahiyo watu wa DSM wote waifuate Mlimani city ?Aliyeuliza swali nimemuelekeza sehemu anayoweza kupata sukari kwa hapa DSM
Nipo hapa morogoto wiki nzima hakuna sukari kabisa.Wapi huko wanauza shilingi 5,000?
Hivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?