Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Sukari imefanya nini?
Kisukari, yaani ni kupanda na kushuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari imefanya nini?
Huyo anaweza tu kutumbua wale ambao hawamsifiii na kutoa vitisho hana loloteNajiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Wewe muongo, hiyo sukari utawala wa kikwete haikuwahi kujitokeza hata Siku mojaHakuahidi kupambana na ishu ya sukari. Hilo ni jambo la waziri na lilisumbua tangu enzi za awamu ya kwanza sema wewe ulikuwa bado kwenye kiuno cha mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu hakuwahi kufanya bei ya sukari ikawa stable! Hawezi....Acha uwongo! Wakati wa Mkapa sukari ilikuwa sh. 400 kwa kilo. Enzi ya uwaziri wa Iddi Simba bei ikapanda hadi 600 kwa kilo. Hiyo tu ikasababisha aSimba ajiuzulu.c
Wakati wa JK sukari ikapanda hadi 2,000 kwa kilo. Kipindi hicho enzi za Operesheni Sangara ya CHADEMA. Baadae ikashuka hadi 1,800.
Alipoingia Magu ndio ikawa unstable mpaka leo. Magu amevuruga kabisa.
Najiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Siku sio nyingi nilitoa hoja kama hii.Najiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Poleni na pilikapilika za maisha.
Naomba serikali ya mkoa mkoa chini ya uongozi wa Makonda na uongozi wa kanda maalum ya polisi mkoa wa Dar es Salaam waachane na kulazimisha watu wazima kuingia bungeni. DAR hivi sasa kuna uhaba mkubwa wa bidhaa ya sukari madukani haipo na haipatikaniki. Hivi kuhangaika na Wabunge wa upinzani ni vyema wavamie maghala ya kuhifadhi sukari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa kipumbavu kwa kiwango cha hali ya juu.Poleni na pilikapilika za maisha.
Naomba serikali ya mkoa mkoa chini ya uongozi wa Makonda na uongozi wa kanda maalum ya polisi mkoa wa Dar es Salaam waachane na kulazimisha watu wazima kuingia bungeni. DAR hivi sasa kuna uhaba mkubwa wa bidhaa ya sukari madukani haipo na haipatikaniki. Hivi kuhangaika na Wabunge wa upinzani ni vyema wavamie maghala ya kuhifadhi sukari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitabibu, ubaya wa sukari kwa afya ya binadamu ni upi? Kwa nini serikali inaagiza hadi nje ya nchi kama ni mbaya?Sukari siyo nzuri kwa afya ya binadamu. Tutumie asali.
Ni Kama sigara tu mkuu. It's a business.Kitabibu, ubaya wa sukari kwa afya ya binadamu ni upi? Kwa nini serikali inaagiza hadi nje ya nchi kama ni mbaya?
Bei ya sukari unaijua?au unafikili inauzwa kama madafu.Sukari siyo nzuri kwa afya ya binadamu. Tutumie asali.
Sukari au asali? Bei ya sukari ninayoifahamu ni Ile elekezi iliyotolewa na serikali. Kama unanunua zaidi ya hapo unaibiwa. Petroli ni cheap Kuliko sukari. Sukari anasa.Bei ya sukari unaijua?au unafikili inauzwa kama madafu.
Bado hujajibu swali. Mfano sigara uliyosema, uvutaji wake kwa baadhi ya watu husababisha uharibifu kwenye mapafu. Sasa nahitaji madhara mabaya ya sukari ya mezaniNi Kama sigara tu mkuu. It's a business.