Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Binafsi sukari ya kiwandani kwangu sio kipaumbele kabisa, sukari kidogo inayopatikana wakati ni bora ielekezwe viwandani kutengeneza vinywaji laini.

Now nikitaka kitu kitamu nakula matunda au asali na nikitaka kitamu zaidi namla mke wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Alhamisi,kuna mtu aliipata Mlimani City, lakini kiwacho cha mwisho kuuziwa ni KILO 5 TU.
 
Tofauti Ni kwamba zamani mtu yeyote akiagiza sukari mfano kina Zakaria etc.
Baadae wenye viwanda wakadai kiwanda kinakufa,,so Sasa nasikia wenye viwanda,sukari ijipungua wao ndo wanaagiza,
Hawa ndo wachawi wa Bei ya sukari
 
Hakuahidi kupambana na ishu ya sukari. Hilo ni jambo la waziri na lilisumbua tangu enzi za awamu ya kwanza sema wewe ulikuwa bado kwenye kiuno cha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo unanunua sh ngapi kwa kilo?.. au ndo msuli wa shemeji na jeuri ya kiuno cha dada?. .. MAELEKEZO YAKE YA KUKURUPUKA NDO HUA YANA HARIBU ,,,,YAAN JAMAA YENU ANAROPOKWA TU
 
Najiuliza ni nini tatizo?

Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.

Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.

Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?

Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Halafu tunafikiri ataweza corona?
 
Back
Top Bottom