Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Yaani kwa sentenso yako ya kwanza imenifanya niwafikirie sana wazazi wako!!!
 
SERIKALI IRUHUSU SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI KUINGIA NCHINI BILA MASHARTI WALA VIBALI VYA AJABUAJABU.
 
BASHITE ana mtambo wa wa kugundua sukari imefichwa wapi, anasubiri mumuimbie nyimbo za sifa na kumtukuza utasikia nimekamata Tani Mia tano za sukari kwenye msitu wa Mabwepande
 
Hilo hawezi kwa sasa anaelewa Corona inechangia ucheleweshaji wa mzigo bandarini pia hali ya mvua kubwa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…