Rais Magufuli kweli kawapa kiburi wamachinga, Chinga atunishia misuli Halmashauri

Hicho kibanda kama kipo ubungo mataa Ni kuni saiv na Mali zote mateja wamebeba...maana ile vunja vunja ya usiku ilikuwa kiboko...hakikusalia kibanda hata kimoja...
Mkuu lini tena imepita vunjavunja?
 
Mkuu lini tena imepita vunjavunja?
Hazijapita hata siku 5 ..we pita daraja LA kijazi...utaona kweupe from Riverside ,junction ya chuo ,ubungo bus terminal na hapo songas..kweupe
 
We ulitaka wamachinga wasijiigizie kipato?
Hakuna ila kuwe na utaratibu... Hauwezi kufanikiwa la sio mtu wa utaratibu. Kwanini kesi haupeleki Shule, wanafunzi hawaendi mahakamani na pesa huenda kuhifadhi polisi.. !? Kwani mwalimu na mwanafunzi wakikutana mahakamani hawawezi kujifunza!? Au hakimu akikaa darasani hawezi kuhukumu!? Na kama bunduki inahifadhiwa kituo cha polisi kwa usalama, pesa yako kwnn isiwekwe huko!?

Ukiacha na na hilo, by design.. kwa nn mkono wa binadamu kamili hauko kiunoni, na kichwa hakining'inii tumboni!? Au mdomo usiwe kifuani!? Na ikitokea umemuona mtu wa namna hiyo tunamuona mlemavu!?

Kujipatia kipato sio kosa.. ila huwezi kwenda kuziba njia ya waenda kwa miguu, au kukaa katikati ya verge ya barabara maana havikudesigniwa kutumika hivyo. Its just lack of intelligence na kukosa Adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…