Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana


Unwritten rules zina nguvu kubwa kuliko unavyofikiria! Hapo JPM amekumegea tu kipande cha portfolio ya unwritten rules.

Kumnyima mtu form ya kugombea kwa sababu ya kuwa na umri mkubwa kuliko wa Rais anayemaliza muda wake ndiyo kinyume cha Katiba. Hakika CCM hawatafanya hivyo. Anayetaka kuchukua form ruksa, lakini kama CCM wakiamua wazee wasipenye, kweli wazee hawatapenya.

Kumbuka, kura ya mjumbe wa kikao cha maamuzi au kura ya mwananchi katika uchaguzi huwa haina maelezo. Mtu anaweza kumnyima kura mgombea kwa sababu ambazo ni kinyume kabisa cha Katiba (kama vile dini yake, kabila lake, rangi yake, jinsia yake), lakini ndiyo imetoka hiyo; hakuna mahakama inayoweza kuhoji utashi wa mpigakura!
 

JPM alikosea kusema hivyo hapo juu. Lukuvi ni bora kuliko vijana wengi tu.

Ametatua matatizo kibao ya maskini bila uoga, uonevu na kufuata sheria, kwa umakini.

Ametulia.
 
Alijisahau sana huyu kiumbe

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
JPM alikosea kusema hivyo hapo juu. Lukuvi ni bora kuliko vijana wengi tu.

Ametatua matatizo kibao ya maskini bila uoga, uonevu na kufuata sheria, kwa umakini.

Ametulia.
Lukuvi ni mtu wa hovyo kwanza mdini kishenzi huyo Mhehe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜†
 
Kwani KAZI ya urais ni kubeba vitu vizito Hadi uwe kijeba ndo uweze ifanya?

Joe Budden vp!!!!

Kama ana uwezo Ruksa, msitupangie!!!!!
 
Shaka keshamtaja Mgombea wa 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…