KhaaaaaJpm yupo right, corona ni ujinga tu wameoleta wazingu
Vipimo havieleweki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani haiwezekani? Corona virus anaweza kukaa popote isipokuwa kwenye sabuni na sanitizerVipimo vya korona vimelalamikiwa sana sio na Magufuli tu wewe hauoni kama kuna shida na hivyo vipimo ? Haiwezekani uchukuliwe ute wa papai uonekane una korona
hii itakuwa kashfa kuu duniani kwa makampuni watengeneza vipimio vya corona!!! Mengi yatakiona Cha mtema kuniour president ni kipanga asee naona hii itawazindua mataifa mengine wajipange
Hamna rais hapoWanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Je sampling moja inatosha kukupa majibu sahihi?Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Bwana wewe ni mwamba. Chapa kazi tu. Usijali maneno yanayozagaa ya kujikinga na kile kinachoitwa COVID-19. Yatakupotezea mda wa kuchapa kazi. Corona haipo. Hapa kazi tu. Amen.Asante Rais Magufuli
Sisi Tunaendelea kuchapa kazi
Naamini alichosema ni kweli. Watu wa usalama walitakiwa wamshauri Rais wetu asitangaze bali walishughulikie wao na vendor, WHO au yeyote aliyetupatia hivyo vifaa kimya kimya.Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Zilizonunuliwa na nani ?Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Wewe umetokea wapi?
Sikuhizi kuna vilaza wengi kwelikweli
Bwana wewe ni mwamba. Chapa kazi tu. Usijali maneno yanayozagaa ya kujikinga na kile kinachoitwa COVID-19. Yatakupotezea mda wa kuchapa kazi. Corona haipo. Hapa kazi tu. Amen.
Wewe umetokea wapi?
Sikuhizi kuna vilaza wengi kwelikweli
Ila nyie watu wakatili wa nafsi aiseee...
Kuangalia tuu TBC inahitaji roho ngumu,
Sasa kumwangalia Huyo jamaa TBC inahitaji uwe bandidu na nusu.
Nilienda ugenini, wanaangalia TBC mda wote, Maisha yangu ile jioni yalikua magumu sanaaa, nje kuna mvua, chumbn hakwendeki maana unasubr mwongozo wa wenyeji, kuvaa earphones utaonekana wa ajabu, kuchezea simu mda wote nako hakuleti picha nzuri,
Bahat nzuri mtoto akawa anakuja kuniongelesha kila mambo yakiwa magumu, mtoto wa mzee ambaye ndie mwenyeji wangu ndie alikua anamtuma dogo aje maana alijua.
Yaani yule Mzee mwenye nyumb anashangilia kila kitu asee, half anakuongelesha u comment...
Nilijitahd kuonesha unafk wa hali ya juu ile siku huku unajichekesha la sivyo naharibu hata kilichonipeleka,
Mpk nikahisi ana ni challenge kuona how deep i can handle pressure.
Baadae Mwanaye akanipa pole maana alijua ninavyoteseka.
Ila asikwambie mtu unafk wa nafsi yako unachoma moyoo aisee, naondoka huku najishangaa, hv kweli n mm wa kumshangilia yule jamaa... Nilitamani nikatubu.
Na huwezi ukanishangaa,
Maana haya sasa wewe umesikiliza, ulichoambulia ndio hicho, umefurahia?
Ona nae huyu.Habar, na jaribu kuwaza na kupembua mawazo ya walio wengi na yale ya kiongoz wetu wa nchi, kwa kweli nakosa jibu ni nan mkwel kat ya hiz pande mbil, Maan mtukufu amekil ugonjwa upo ila x ule wanao Sema upande wa pil, pia anasema kipimo cha maabara ya taifa hakifany Kaz vizur au wale watu wa maabara wanakuja n majibu yao kutok mfukon...... Sasa hiv wale waliopimwa n kukutwa n corona inakuwaje sas maana wamezurumiwa maisha yao, mtu han ila amewekwa n aliye kuwa nao n kama kwel hao watu wa maabara wamefanya hila watakuwa ni wahujumu uchum n wanahitajik kupewa adhab Kal kabisa............. Uchungu ufanyik kwao na wanahitajik kusimamishwa mara moj kuanzia PM, UMMY, MGANG MKUU NA HAO MAABARA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi hupingwa kisayansi mnaoleta hoja zenu kumpinga rais leteni data zenu za kisayansiMmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi umesetiwa kama robot? Nimekuuliza huu utafiti kaufanyia kwenye maabara gani?Wewe na rais nani mwenye access ya resources(technology na vifaa vya maabara) na rasilimali za watu wakutosha?
Tafiti upingwa kwa tafiti mkuu.