Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Kiukweli, kama uko smart lazima umkunali JPM ktk hili.
je maabara yetu yako sawa kweli? Je ni wataalam? Je ni vifaa?
 
our president ni kipanga asee naona hii itawazindua mataifa mengine wajipange
hii itakuwa kashfa kuu duniani kwa makampuni watengeneza vipimio vya corona!!! Mengi yatakiona Cha mtema kuni

Raisi Magufuli kamaliza kupambana na mafisadi wa ndani Sasa kahamia kupambana na mafisadi ya kimataifa matengeneza vipimo.vya corona

Kaizindua macho dunia hi itakuwa na impact kubwa duniani
 
Wanabodi,

Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona

Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.

Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Hamna rais hapo
 
Wanabodi,

Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona

Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.

Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Je sampling moja inatosha kukupa majibu sahihi?

Jr[emoji769]
 
Wanabodi,

Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona

Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.

Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Naamini alichosema ni kweli. Watu wa usalama walitakiwa wamshauri Rais wetu asitangaze bali walishughulikie wao na vendor, WHO au yeyote aliyetupatia hivyo vifaa kimya kimya.
 
Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Zilizonunuliwa na nani ?
Kama vifaa tiba ni feki siyo kosa la wagonjwa na wananchi ni kosa la serikali yake.

Kama wataalamu hawana uwezo wa kupima still kosa ni la serikali yake tu.

Alichokifanya jamaa ni sawa na kujisafisha mavi kwa kutumia kinyesi cha chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Mkuu tusiwasikilize watu wasio ipenda Nchi Yetu
Bwana wewe ni mwamba. Chapa kazi tu. Usijali maneno yanayozagaa ya kujikinga na kile kinachoitwa COVID-19. Yatakupotezea mda wa kuchapa kazi. Corona haipo. Hapa kazi tu. Amen.
 
Katika ujinga wangu natamani nijue hizo sampuli zinazopelekwa! Je hazina muonekano wa aina moja? Kama zina muonekano wa aina moja, je kuna kemikali zinawekwa kabla ili kufananisha sampuli iliyotoka kwenye papai na ile ya kwenye mbuzi kabla ya kuzipima? Kama zinatofautiana, je maabara ni wazembe kiasi cha kushindwa kujua kwa jicho lisilo la darubini kwamba hili ni papai na hili ni fenesi!? Mwenye utaalamu anieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Mimi kabisaa!!!
Ila nyie watu wakatili wa nafsi aiseee...
Kuangalia tuu TBC inahitaji roho ngumu,
Sasa kumwangalia Huyo jamaa TBC inahitaji uwe bandidu na nusu.

Nilienda ugenini, wanaangalia TBC mda wote, Maisha yangu ile jioni yalikua magumu sanaaa, nje kuna mvua, chumbn hakwendeki maana unasubr mwongozo wa wenyeji, kuvaa earphones utaonekana wa ajabu, kuchezea simu mda wote nako hakuleti picha nzuri,
Bahat nzuri mtoto akawa anakuja kuniongelesha kila mambo yakiwa magumu, mtoto wa mzee ambaye ndie mwenyeji wangu ndie alikua anamtuma dogo aje maana alijua.

Yaani yule Mzee mwenye nyumb anashangilia kila kitu asee, half anakuongelesha u comment...

Nilijitahd kuonesha unafk wa hali ya juu ile siku huku unajichekesha la sivyo naharibu hata kilichonipeleka,
Mpk nikahisi ana ni challenge kuona how deep i can handle pressure.
Baadae Mwanaye akanipa pole maana alijua ninavyoteseka.

Ila asikwambie mtu unafk wa nafsi yako unachoma moyoo aisee, naondoka huku najishangaa, hv kweli n mm wa kumshangilia yule jamaa... Nilitamani nikatubu.

Na huwezi ukanishangaa,
Maana haya sasa wewe umesikiliza, ulichoambulia ndio hicho, umefurahia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar, na jaribu kuwaza na kupembua mawazo ya walio wengi na yale ya kiongoz wetu wa nchi, kwa kweli nakosa jibu ni nan mkwel kat ya hiz pande mbil, Maan mtukufu amekil ugonjwa upo ila x ule wanao Sema upande wa pil, pia anasema kipimo cha maabara ya taifa hakifany Kaz vizur au wale watu wa maabara wanakuja n majibu yao kutok mfukon...... Sasa hiv wale waliopimwa n kukutwa n corona inakuwaje sas maana wamezurumiwa maisha yao, mtu han ila amewekwa n aliye kuwa nao n kama kwel hao watu wa maabara wamefanya hila watakuwa ni wahujumu uchum n wanahitajik kupewa adhab Kal kabisa............. Uchungu ufanyik kwao na wanahitajik kusimamishwa mara moj kuanzia PM, UMMY, MGANG MKUU NA HAO MAABARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona nae huyu.

Sent using [emoji106]
 
Mkinicheka mnicheke tu.

Hata mimi ningekuwa mkuu wa nchi ningeagiza kila kitu toka nje kijaribiwe kwanza dhidi ya upungufu au njama yoyote.

Ambacho ningesita kufanya ni kutoa matokeo hadharani. Hizi siyo nyakati za kuamini wakubwa wa mataifa jumlajumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na rais nani mwenye access ya resources(technology na vifaa vya maabara) na rasilimali za watu wakutosha?

Tafiti upingwa kwa tafiti mkuu.
Vipi umesetiwa kama robot? Nimekuuliza huu utafiti kaufanyia kwenye maabara gani?
 
Back
Top Bottom