Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Aisee,basi tusubirie Tanzania ya viwanda tu mkuu maana tunarais genius haijawahi kutokea though hatoagi solutions
 
Tuliza akili na mawazo yako kwanza kabla hujaanza kuandika ili uweze kuandika kitu kinachosomeka na kueleweka. Acha mawenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini alichosema ni kweli. Watu wa usalama walitakiwa wamshauri Rais wetu asitangaze bali walishughulikie wao na vendor, WHO au yeyote aliyetupatia hivyo vifaa kimya kimya.
Ikifanyika kimya kimya utamjuaje Kama ni genius?
 
Ni ujinga uliopitliza kulisha kipimo cha corona sample za mapapai. Kile kipimo hakifanyi kazi kama huyu kilaza wenu anavyofikiri. Ukikilisha vitu kama sample za mafenisi kinaweza kutoa majibu yoyote kwani hakikutengezwa kuchambua kila sample kinacholishwa. Na pia kunaweza kuwa na human error au negligence kwenye upimaji. Sababu ziko nyingi sana na siyo conclusion ya kijinga aliyofikia huyu kilaza wenu. Rais anatoa hotuba nchi nzima inaingiwa na aibu kwa kuwa na raios mwenye upeo mdogo wa kuchanganua mambo namna hii!
 
Hapo point kubwa ni watu wasiamini chochote hata data rasmi zinazotolewa na wizara maana zimechezewa..
swali ni tuamini nini ??..
Tuamini kuwa hakuna Corona, halafu eti ataruhusu ligi iendelee, nimeona wapenda soka wamemsifu sana, ila nikajiuliza ni mchezaji gani wa kimataifa atakuja kucheza kwenye mizaha kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikuwa na haraka gani?. ulitaka uwe wa kwanza kuanzisha topic hii?.

rekebisha makosa ya kisarufi kwenye bandiko lako. otherwise watu makini tutakuona kilaza.
 
Tuamini kuwa hakuna Corona, halafu eti ataruhusu ligi iendelee, nimeona wapenda soka wamemsifu sana, ila nikajiuliza ni mchezaji gani wa kimataifa atakuja kucheza kwenye mizaha kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi msikiti wa kwa mtoro ulifungwa,sijui baada hizo ya Statements za mkulu huo msikiti utafunguliwa?
 
Hujui unachosema....nyamaza
 
Jk na lowasa ugomvi wao umezaa kituko kuwahi kutokea toka dunia iumbwe,yani anaropoka tu nimeamini iko siku atafungwa kudu.anaweza kuhutubia taifa kavaa taulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,basi tusubirie Tanzania ya viwanda tu mkuu maana tunarais genius haijawahi kutokea though hatoagi solutions
Raisi Ni original thinker sio sawa na chadema ambao huwa hawana Chao original husubiria Magufuli aongee ndipo wao wadakie!!!!
 
Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Mkuu,
Nadhani kuna aina ya kipimo cha korona huwa wanapima kutokana na maji maji ya pua. wanatumia vitu kama cotton swabs kuingiza puani kupata sample.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…