Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

hii itakuwa kashfa kuu duniani kwa makampuni watengeneza vipimio vya corona!!! Mengi yatakiona Cha mtema kuni

Raisi Magufuli kamaliza kupambana na mafisadi wa ndani Sasa kahamia kupambana na mafisadi ya kimataifa matengeneza vipimo.vya corona

Kaizindua macho dunia hi itakuwa na impact kubwa duniani
Aisee,basi tusubirie Tanzania ya viwanda tu mkuu maana tunarais genius haijawahi kutokea though hatoagi solutions
 
Habar, na jaribu kuwaza na kupembua mawazo ya walio wengi na yale ya kiongoz wetu wa nchi, kwa kweli nakosa jibu ni nan mkwel kat ya hiz pande mbil, Maan mtukufu amekil ugonjwa upo ila x ule wanao Sema upande wa pil, pia anasema kipimo cha maabara ya taifa hakifany Kaz vizur au wale watu wa maabara wanakuja n majibu yao kutok mfukon...... Sasa hiv wale waliopimwa n kukutwa n corona inakuwaje sas maana wamezurumiwa maisha yao, mtu han ila amewekwa n aliye kuwa nao n kama kwel hao watu wa maabara wamefanya hila watakuwa ni wahujumu uchum n wanahitajik kupewa adhab Kal kabisa............. Uchungu ufanyik kwao na wanahitajik kusimamishwa mara moj kuanzia PM, UMMY, MGANG MKUU NA HAO MAABARA

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza akili na mawazo yako kwanza kabla hujaanza kuandika ili uweze kuandika kitu kinachosomeka na kueleweka. Acha mawenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini alichosema ni kweli. Watu wa usalama walitakiwa wamshauri Rais wetu asitangaze bali walishughulikie wao na vendor, WHO au yeyote aliyetupatia hivyo vifaa kimya kimya.
Ikifanyika kimya kimya utamjuaje Kama ni genius?
 
Mkinicheka mnicheke tu.

Hata mimi ningekuwa mkuu wa nchi ningeagiza kila kitu toka nje kijaribiwe kwanza dhidi ya upungufu au njama yoyote.

Ambacho ningesita kufanya ni kutoa matokeo hadharani. Hizi siyo nyakati za kuamini wakubwa wa mataifa jumlajumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga uliopitliza kulisha kipimo cha corona sample za mapapai. Kile kipimo hakifanyi kazi kama huyu kilaza wenu anavyofikiri. Ukikilisha vitu kama sample za mafenisi kinaweza kutoa majibu yoyote kwani hakikutengezwa kuchambua kila sample kinacholishwa. Na pia kunaweza kuwa na human error au negligence kwenye upimaji. Sababu ziko nyingi sana na siyo conclusion ya kijinga aliyofikia huyu kilaza wenu. Rais anatoa hotuba nchi nzima inaingiwa na aibu kwa kuwa na raios mwenye upeo mdogo wa kuchanganua mambo namna hii!
 
Hapo point kubwa ni watu wasiamini chochote hata data rasmi zinazotolewa na wizara maana zimechezewa..
swali ni tuamini nini ??..
Tuamini kuwa hakuna Corona, halafu eti ataruhusu ligi iendelee, nimeona wapenda soka wamemsifu sana, ila nikajiuliza ni mchezaji gani wa kimataifa atakuja kucheza kwenye mizaha kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar, na jaribu kuwaza na kupembua mawazo ya walio wengi na yale ya kiongoz wetu wa nchi, kwa kweli nakosa jibu ni nan mkwel kat ya hiz pande mbil, Maan mtukufu amekil ugonjwa upo ila x ule wanao Sema upande wa pil, pia anasema kipimo cha maabara ya taifa hakifany Kaz vizur au wale watu wa maabara wanakuja n majibu yao kutok mfukon...... Sasa hiv wale waliopimwa n kukutwa n corona inakuwaje sas maana wamezurumiwa maisha yao, mtu han ila amewekwa n aliye kuwa nao n kama kwel hao watu wa maabara wamefanya hila watakuwa ni wahujumu uchum n wanahitajik kupewa adhab Kal kabisa............. Uchungu ufanyik kwao na wanahitajik kusimamishwa mara moj kuanzia PM, UMMY, MGANG MKUU NA HAO MAABARA

Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuwa na haraka gani?. ulitaka uwe wa kwanza kuanzisha topic hii?.

rekebisha makosa ya kisarufi kwenye bandiko lako. otherwise watu makini tutakuona kilaza.
 
Tuamini kuwa hakuna Corona, halafu eti ataruhusu ligi iendelee, nimeona wapenda soka wamemsifu sana, ila nikajiuliza ni mchezaji gani wa kimataifa atakuja kucheza kwenye mizaha kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi msikiti wa kwa mtoro ulifungwa,sijui baada hizo ya Statements za mkulu huo msikiti utafunguliwa?
 
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui unachosema....nyamaza
 
Wanabodi,

Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona

Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.

Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Jk na lowasa ugomvi wao umezaa kituko kuwahi kutokea toka dunia iumbwe,yani anaropoka tu nimeamini iko siku atafungwa kudu.anaweza kuhutubia taifa kavaa taulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,basi tusubirie Tanzania ya viwanda tu mkuu maana tunarais genius haijawahi kutokea though hatoagi solutions
Raisi Ni original thinker sio sawa na chadema ambao huwa hawana Chao original husubiria Magufuli aongee ndipo wao wadakie!!!!
 
Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Mkuu,
Nadhani kuna aina ya kipimo cha korona huwa wanapima kutokana na maji maji ya pua. wanatumia vitu kama cotton swabs kuingiza puani kupata sample.
 
Back
Top Bottom