Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

"..small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.." Nelson Rohlahla Madiba Mandela,
tatizo mnaelekeza nguvu nyingi kwenye issue zisizoweza kuwasaidia, mnatumia kuni nyingi kuchemshia mawe mkitegemea kuna siku yataiva mpate mlo!!!
mna kugonjwa ka kulinganisha kila kitu cha Tanzania na marekani!! ukitajiwa Leo mshahara wa ikulu unafikri mifuko yako itajaa? learn to let the wind go off!!
 
Mbona bandiko limeeleweka kabisa kama yeye mwenyewe aliahidi kuionyesha kuna ubaya gani kumkumbusha.Halafu katika utawala bora kuna kitu kinaitwa transparency,unaelewa muktadha wake?
 
Kama angejua haina umuhimu kwa nini alisema atatuonyesha salary slip yake? Acha kumtusi bosi wako
 
Kweli Magufuli kiboko kamaliza agenda zote za Wapinzani hadi sasa agenda yao imekuwa "salary slip" ,MAGUFULI punguza dozi baba
 
Daaah kweli kabisa mdau hebu tubandikie na hyo salary slip ya rais wa Marekani uliyokuwa nayo tuione hapa
 
akiweka hadharani niambe nikakate gogo mtaa wa samora aliposimama yule sanamu mjeda mshamba
 
Mbona bandiko limeeleweka kabisa kama yeye mwenyewe aliahidi kuionyesha kuna ubaya gani kumkumbusha.Halafu katika utawala bora kuna kitu kinaitwa transparency, unaelewa muktadha wake?

mkapa aliwaambia analipwa sh. ngapi per month?

 
Ukiona utafanya nn? anapata m100 kodi hakatwi,bado marupuru.Binafsi naona ana kamshahara kadogo mno,au we unaonaje?
 
punguza povu.kupata taarifa ni haki ya kikatiba ya raia ilimradi taarifa anazozihitaji hazikiuki sheria na maadili ya nchi.pinga kwa hoja mbona ww umetoka povu, umeongeza kipato?muda uliotumia kutoa povu si ungeutumia kutengeneza pesa.alafu alie post hiyo mada ni mtu mmoja iweje useme tuna kaugonjwa ka kulinganisha kila kitu.
 

nimecheka!!

aonyeshe tu, maana tumemuajiri
 
Acha kukariri mashairi ya nyimbo za kilioni na kuzitumia ktk harusi.
Ukiwaza mbali, utagundua kwamba, mleta mada anatupa taarifa kua RAIS WETU NI UONGO, na sio kwamba anataka kujua mshshara wake.
Najua unajua kua UONGO ni sifa za mtu MNAFIKI, hivyo tuna Rais MNAFIKI. Hivi huoni kama kuna HASARA za kua na Rais MNAFIKI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…