OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwani alitoa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa tapeli tu kama matapeli wengine.Hapa tulipigwa
Mzee alikua na FIX hatariHapa tulipigwa
Tutakuaminije?Huo sio mshahara wa rais hiyo ilikuwa ni danganya toto tu ni uleule wa Kikwete wa milioni 36 kwa mwezi na huku marais wastaafu wakipata asilimia 80 ya huo mshahara wa rais kwa mwezi.
Afrika mtu akiwa kiongozi huwaona wananchi wote kama majuha tu. Bure kabisa.
Magufuli alikuwa ni mtu anayependa kiki tu na ndio maana akatudanganya kwamba alishusha mshahara wa urais.Tutakuaminije?
Umekuja na maneno matupuMagufuli alikuwa ni mtu anayependa kiki tu na ndio maana akatudanganya kwamba alishusha mshahara wa urais.
Huu ni uongo kabisa kwani ieleweke kwamba marais wastaafu wanalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani kwa mazingira hayo huo mshahara hauwezi kupunguzwa kwa vyovyote vile ni danganya toto tu.