Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Safi naona anaaga kimtindo, yah atupishe tu mitano inamtosha kwa uharibifu alioufanya
 
Ni muendelezo wa :-
Hapa hapa uza
Hapa hapa uzwi
Kazi kwetu wanafamilia kuamua.
Maana yake:-
Uza uzikwe porini.
Usiuze uzikwe kifamilia na kutunza heshima ya kizazi chako.
 
Watanzania wanajua wanachokitaka!!
Dah...wataka Rais mzalendo...mwenye kuweka maslahi ya nchi mbele...iwe kwa haki au batili lazima maslahi ya nchi yawe mbele...siyo kujikomba kwa nchi za kigeni kwa maslahi binafsi... hakuna taifa lolote litakalojali maslahi ya watanzania... Ila watanzania wenyewe....tusidanganyane [emoji2960]
 
Rais Mzalendo na mwenye Haki hanunui watu wampambe....wananchi wenyewe wanaona kazi yake!!
 
Muulizeni Magufuli, kwa maneno yake ya leo, Je tumfanyaje yule mwanasiasa aliyesema hawezi kujenga stand jimboni kwa mbunge bwege kwa sababu ni mpinzani?
 
It cuts across both ways. Inabidi na yeye aache kupropagate chuki anapokuwa jukwaani. Aliyoyaongea wakati amefika kwenye jimbo lililokuwa la Bungara (Bwege) haikuwa ustaarabu kwa standards za Rais wa Nchi
 
It cuts across both ways. Inabidi na yeye aache kupropagate chuki anaokuwa jukwaani. Aliyoyaongea wakati amefika kwenye jimbo lililokuwa la Bungara ( Bwege) haikuwa ustaarabu kwa standards za Rais wa Nchi
Wafia tumbo wanashangilia badala hata ya kumshauri kuacha kujenga chuki miongoni mwa wanannchi.
 
Hapana shaka tuko pamoja rais wetu kipenzi cha wengi ,lazima umwadabishe yule jamaa aliyetoka ughaibuni akitaka kutuharibia amani ya nchi yetu halafu yeye atokomee tena atuache tukiomboleza,huyu tutamuadhibu kwa kipigo cha kenge.

Asilete hadaa kwakuwa hawezi kujibiwa, toka aingie madarakani ndio chaguzi zote zimekuwa zikinajisiwa. Hivyo sababu ya machafuko itakuwa ni yeye.
 
Huyu miaka mitano ndyo kawa kinara wa kuubiri chuki.. 1. Chuki dhidi ya mabeberu, chuki dhidi ya wapimzani na chuki dhidi ya wakosoaji.
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho..ndio maana Mzee Lofa kaenda zake kupumzika hakutaka kuona aibu inayokuja kutokea October..maana Mzee wa Msoga hatabiriki
 
Tatizo maneno ya mtu yanapokuwa tofauti na matendo hata akisema nini inaonekana kama amesema ujinga. Anayosema Magufuli, anavyo act kama mcha Mungu na mtu mwema, mwenye upendo ni tofauti kabisa na serikali yake inavyotenda...
Mkuu serikali haipaswi kupanic,serikali haigombei Wala kuomba kura Sasa kitu kinaipanikisha? Labda Kama huyu incompetent Magu kachanganya Mambo yake binafsi na Yale ya ccm kwenye serikali yetu
 
Tayari wenye wali washaanza kula na wengine kunawa wengi waliobaki sasa na ambao hawajala ni wale wenye vumbi miguuni ngoja tusubiri mla ukoko atakuwa nani ni suala LA mda tu magu au lissu
 
Hapana shaka tuko pamoja rais wetu kipenzi cha wengi ,lazima umwadabishe yule jamaa aliyetoka ughaibuni akitaka kutuharibia amani ya nchi yetu halafu yeye atokomee tena atuache tukiomboleza,huyu tutamuadhibu kwa kipigo cha kenge.
Naomba kujua ni kitu gani kilimpeleka ughaibuni
 
Hata siku moja huwezi kumsikia magufuli anakemea uchafu huu maana ndio mtaji wake

View attachment 1537071
Mimi wala sioni huruma kushambuliwa kwa wapinzani maana wanataka. Haiwezekani daily mnashambuliwa nyinyi tu halafu mnaishia kulamimika kwa polisi ambao mna uhakika hawatapata kitu.

Kwanini hamjipangi wakati mnashambuliwa mukamkata kichwa japo mmoja Kati ya hao majambazi wanaowavamia. Nadhani heshima ingerudi.
 
Hapana shaka tuko pamoja rais wetu kipenzi cha wengi ,lazima umwadabishe yule jamaa aliyetoka ughaibuni akitaka kutuharibia amani ya nchi yetu halafu yeye atokomee tena atuache tukiomboleza,huyu tutamuadhibu kwa kipigo cha kenge.
yule ni mtetezi wa amani hajawahi kuwa na viashiria vya kuvunja amani tofauti na waliovuka boda kufata malisho ya ngombe nchini mwetu
 
Back
Top Bottom