Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

unavyojua wewe Ben Saanane yuko wapi mkuu?
Naanza kuhofu hata wewe ni TISS...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Ukiona sijui gari au pikipiki unavutwa vutwa tia Kelele za kutosha maana wameruhusiwa sasa hivi...moto una washa moto..wakiaanza kuchomeka taratibu watajitaja...
 
Mtu akipotea wakuu wa vyombo vya usalama wajiuzuru. Wameshindwa kazi. Wasitugombanishe na Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…