Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

unavyojua wewe Ben Saanane yuko wapi mkuu?
Naanza kuhofu hata wewe ni TISS...
Ben saa8 yuko offline mpaka leo? Hata wakoloni walitunga sheria za kutisha wananchi ili wawatawale vizuri, hivyo mnaweza kutunga hiyo sheria hata leo, lakini inafahamika hii tabia ya kuteka imeshika kasi lini, na hiyo sheria lengo lake sio kulinda vyombo vya usalama visichafuliwe, bali lengo lake ni kunyamazisha watu wasihoji ili waendelee kutekwa. Itungwe hiyo sheria, lakini ikija serikali isiyoteka itafuta hiyo sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati fulani Unguja mashambulizi ya kundi la kihalifu linaloitwa janjawid yalizidi sana. Majibu ya jeshi la polisi siku zote yalikua "hatuwajui hao watu tunaendelea kuwatafuta"

Wananchi walipoitaka serikali iwaruhusu kuwashughulikia hao wahuni pindi watakapo anza kuwashambulia watu, Serikali ya Zanzibar ilikua mbogo kwelikweli na kuonya kua atakayeshambilia hao Janjawid atakiona cha mtemakuni!!!
Daah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Ukiona sijui gari au pikipiki unavutwa vutwa tia Kelele za kutosha maana wameruhusiwa sasa hivi...moto una washa moto..wakiaanza kuchomeka taratibu watajitaja...
 
Mtu akipotea wakuu wa vyombo vya usalama wajiuzuru. Wameshindwa kazi. Wasitugombanishe na Rais wetu
 
Back
Top Bottom