Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
so anataka kusema ben saa 8 mpaka leo anakula utamu wa demu ? for more than a year ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kubishana tu mkuuso anataka kusema ben saa 8 mpaka leo anakula utamu wa demu ? for more than a year ?
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi chafua jalalaHapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
Mheshimiwa Rais yupo sahihi naunga mkono
Then kwa kuwa watanzania siyo wajinga,anatakiwa pia atuambie kama Mo alitekwa au alikuwa kwa mchepuko wake?na kama alitekwa hao wengine hao wengine inashindikana nini kutekwa?Aseme alipo Ben Saanane
Ndio maana amesema ukamatwe ili ukatoe ushahidi wa jinsi wanavyohusika.Kutisha watu sio suruhisho dawa hapa ni kutafuta Kwann usalama wa Taifa unahusishwa na maswala hayo ya utekaji?
Amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama ameshatoa tamko sasa endeleeni kuleta taharuki kama mlivyoleta za ex CAG halafu tuoneSiku utakayopapaswa umuunge mkono pia
Unatukana ukiwa umejificha nyuma ya keyboard! Angalie usije ukapotea halafu uanze kusingizia kuwa ni TISS kumbe ni sisi wanaume wa shoka tulioapa kumlinda Rais wetu kipenziMjinga huyu ameshatuzoea sasa... Kuropoka tu , hajui maana ya amani kwenye nchi hii