Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Lakini
Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Lakini tujiulize, baada ya watu kupotea, baadhi ya watu utoa sababu uenda zilisababishwa kupotea kwao, na sababu ni mkwaruzano na wakubwa, tafakari kila mmoja na sababu yake, mfano Roma- wimbo, lisu ukosoaji, sanane, anzori, n.k. sasa sababu zinatolewa humu humu jf. Sasa tusema nani? Au tuitimishe vipi? Sababu za kisiasa tuseme ugomvi wa mapenzi?
 
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.

And presumably Tundu Lissu alijipiga risasi mwenyewe na akasingizia wasiojulikana na serikali, si ndio?
 
Wakati fulani Unguja mashambulizi ya kundi la kihalifu linaloitwa janjawid yalizidi sana. Majibu ya jeshi la polisi siku zote yalikua "hatuwajui hao watu tunaendelea kuwatafuta"

Wananchi walipoitaka serikali iwaruhusu kuwashughulikia hao wahuni pindi watakapo anza kuwashambulia watu, Serikali ya Zanzibar ilikua mbogo kwelikweli na kuonya kua atakayeshambilia hao Janjawid atakiona cha mtemakuni!!!
 
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
Mpaka siku akitekwa mtu wako wa karibu ndipo utakapoacha kubwabwaja hapa.Unless uwe na PhD ya unafiki!
 
bora umenena hayo mkuu wa nchi yetu,mwenye ufaham na watekaji akatolee ushahidi mahakamani
 
Huyu hapa Ally Mwandoje mwaka jana aliandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa:
 
Attachments

  • 20200112_152151.jpg
    20200112_152151.jpg
    53.4 KB · Views: 2
  • 20200112_152218.jpg
    20200112_152218.jpg
    39.2 KB · Views: 2
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoshanganza zaidi ni kuona upuuzi huu unatamalaki kipindi hiki ambacho kiongozi wa malaika mtarajiwa ndo rais watanzania.Hao malaika sina hakika kama wanaweza kuwa wa Mungu sana sana labda ni wa Gomboshi au milima ya uluguru
 
Mbona waliopotea na kurudi kumekuwa na ukakasi walikuwa wapi?Halafu jukumu la Ulinzi na usalama wa Watanzania ni lako wewe Amiri Jeshi Mkuu.Sasa kama hivyo vitendo havikomeshwi nani wa kulaumiwa kama sio wewe?
Mkuu alisukumiziwa huko so sina hakika kama anajua wajibu wake
 
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.

Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara.
 
Kifupi kathibitisha kuwa yeye ndio anawatuma na najua kila kitu kinachoendelea.
tuongeze dua tu, siku ifike waje kujibu haya maswali hata kama watakuwa wamekufa huku ifanyike na haki itendeke.
 
bora umenena hayo mkuu wa nchi yetu,mwenye ufaham na watekaji akatolee ushahidi mahakamani

Huu utekaji una baraka zote za kimfumo, mahakama ni sehemu ya kutekelezea huo uchafu.
 
Kwa nafasi yake, yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa ngazi ile ya juu na licha ya hilo, kwa nafasi yake pia anapaswa kuhakikisha Katiba inaheshimiwa, katiba inayotaka raia walindwe na wawe huru kufanya walitakalo mradi tu hawavunji sheria.

Swali ni Je, huyu Bwana kweli anaguswa na matukio ya watu kupotea ambayo yeye anapaswa kuyakemea?

Kama haguswi, tumuelewaje?

Nikiunganisha dots sijui nitakuwa nakosea!

Kichwa kinauma!
 
Mama yako anaweza akaisaidia polisi kwa maelezo yake kama lini alikuona wewe mara ya mwisho? Ulivaa nguo gani? Uliondoka katika mazingira gani? Nakadhalika na kadhalika. Alafu wao wanaendelea zaidi mpaka upatikane au uachiwe huru na huyo lijimama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na majimama ya siku hizi yalivyo na nguvu kuliko serikali yetu tukufu?Huoni yanavyofungia watu mpaka ndugu na jamaa wanakataa tamaa kwamba ndugu yao kishakufa
 
Back
Top Bottom