Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Hahahaha mnatengeneza mtego wa Panya
 
Tujiulize, kwa nini huko nyuma haya hayakuwepo? Lkn utekaji upo au haupo na mbona haongelei majaliwa ya wale ambao hawajaonekana kwa miaka kadhaa sasa.

Je mtu akitekwa kweli na watu wakashuhudia na kwa siku kadhaa asionekane watu wakae kimya tu mbona hii inaturahisishia tujue watekaji ni akina nani.

Watu wengine wanajiweka kwenye mazingira magumu wenyewe kiasi kwamba wakiondoka madarakani hawawi salama. Very hopeless indeed.
 
Mmeibuka kama mapunguani kushingilia maagizo ya kipuuzi Kama haya? Roma, Mdude, Mo, Azory, Lissu, Ben walikuwa kwa hawala zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ben Saanane yuko offline mpaka leo? Hata wakoloni walitunga sheria za kutisha wananchi ili wawatawale vizuri, hivyo mnaweza kutunga hiyo sheria hata leo, lakini inafahamika hii tabia ya kuteka imeshika kasi lini, na hiyo sheria lengo lake sio kulinda vyombo vya usalama visichafuliwe, bali lengo lake ni kunyamazisha watu wasihoji ili waendelee kutekwa. Itungwe hiyo sheria, lakini ikija serikali isiyoteka itafuta hiyo sheria.
 
Kuita kundi la kijajusi usalama wa taifa ni laana. Ni kivipi majasusi wakawekwa sawa na mambo ya usalama? viundwe vyombo mahususi maswala ya ujasusi na usalama.

TISS itengwe kama ilivyo sasa ujasusi uwe peke ake na usalama uwekwe idara pekee mfano iwepo TIS(Tanzania Intelligence services) Na TSA(Tanzania security Agency).

hapo ndo tutakwenda sawa ujasusi wa TISS ni wa kidola na wala haupo kiuchumi wala hauna mlengo wa kimaendeleo.
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
 
Ongezeni dua.
I wish i kudu bii...
 
Mama yako anaweza akaisaidia polisi kwa maelezo yake kama lini alikuona wewe mara ya mwisho? Ulivaa nguo gani? Uliondoka katika mazingira gani? Nakadhalika na kadhalika. Alafu wao wanaendelea zaidi mpaka upatikane au uachiwe huru na huyo lijimama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…