HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anawezatembeza gari Mchana without plate nambaAlijuaje kama ni kikosi kazi?
Ajawahi kemea popote.Atoe neno tu nao utakomaMbona waliopotea na kurudi kumekuwa na ukakasi walikuwa wapi?Halafu jukumu la Ulinzi na usalama ni la wewe Amiri Jeshi Mkuu.Sasa kama hivyo vitendo havikomeshwi nani wa kulaumiwa kama sio wewe?
Hapana ndugu yangu; husimpe kicha! Rais amekosea sana kusema hivyo. Kuwapiga watu marufuku kutuhumu vyombo vya dola maana yake ni anajenga kinga kwa vyombo vya dola ambavyo vinaweza kuhusika na uhalifu.Mheshimiwa Rais yupo sahihi naunga mkono
Ubishi wetu tulionywaHuyu mtu lilikuwa kosa kubwa Sana kumpa madaraka makubwa
Hata mkiwasilence hamuweziubadili ukweliNi sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
The Lost.kuita kundi la kijajusi usalama wa taifa ni laana... ni kivipi majasusi wakawekwa sawa na mambo ya usalama? viundwe vyombo mahususi maswala ya ujasusi na usalama.. TISS itengwe kama ilivyo sasa ujasusi uwe peke ake na usalama uwekwe idara pekee mfano iwepo TIS(Tanzania Intelligence services) Na TSA(Tanzania security Agency). hapo ndo tutakwenda sawa ujasusi wa TISS ni wa kidola na wala haupo kiuchumi wala hauna mlengo wa kimaendeleo.
Jina uhakika alipata kwa bahati mbaya.Huyu mtu lilikuwa kosa kubwa Sana kumpa madaraka makubwa
Mliifinya demokrasi 2015.ndani ya chama chenu,sasa mnalia wenyewe.#Hapa kazi tu.Ubishi wetu tulionywa