Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaNi kwanini wanaitwa wasiojulikana?
Majeshi ya Ulinzi na Usalama wao ndio wanatakiwa kutuhakikishia kuwa sio TISS kwa kukamata wale wote wasiojulikana ili jamii itokane na dhana hiyo.
Vyombo vyenu wewe na nani?Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Tamko limeshatoka tayari na amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama.Pole sana huyo Dictator unaemtegemea kaishia kabisa hata busara kidogo iliyokuwa imebakia. Anajimaliza kwa matendo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Hao watekaji inaonekana wana nguvu sana kuliko hii serikali ya awamu ya tano pamoja na kuongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwacan you prove otherwise mkuu?
Tatizo watekaji mko humu mnajifanya mnatoa comments zenye nusu ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
unavyojua wewe Ben saa8 yuko wapi mkuu?
Naanza kuhofu hata wewe ni TISS...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anatumia jina lake humu JF ukiwauliza Chadema watakua na majibu sahihi.Aseme alipo Ben Saanane
Kwa wakurya nadhani watu siku hiyo mapanga hayakuwa karibu,wangekuwa nyama za buchani nadhaniKama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Ubishi wetu tulionywa
Hao watekaji inaonekana wana nguvu sana kuliko hii serikali ya awamu ya tano pamoja na kuongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwa