Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

Nimeona tangazo la TTCL wanawatafuta watu wanaokosoa huduma zao, hivyo huwenda wewe ni mmoja taskforce [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha uoga kijana.
Lile tangazo ni feki.
Liliwekwa tangu 31 Machi 2020.
So jamaa kaweka ili awatishe nyie wakosoaji.
 
Aisee! Nasikia wafanyakazi wa TTCL wanampenda sana bosi wao Kindamba
 
Ukweli TTCL wameshindwa kabisa kwenye customer care ni 0 na hasa muda mwingi ukiwapigia wanakuambia hawapo ofisini kwakuwa muda wa kazi umekwisha, sasa kampuni inatoa huduma 24/7 halafu customer care inakuwa nyumbani baada ya saa 10
 
Ngoja Kanungila Karim aje na majibu
 
Kawekwa mpya sasa ngoja tuone utendaji wake
 
Hivi umewahi kufika Ubungo Plaza? Nenda ofisi za TTCL alafu sogea pembeni kuna Vodacom uone very basic difference!

Kwanza TTCL wamekodi li eneo kubwa mno huku wafanyakazi mle hawazidi wanne! Typically public office hakuna anayejali!

Wenzao ambao wako mbali kibiashara wanakieneo kidogo lakini very busy place! Hapo tu utajua shida ya mashirika ya umma!
 
Akikodi eneo kubwa zaidi na 10% inakuwa kubwa zaidi, elewa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…