BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Mkuu, acheni kutetea Watu! Hivi unajua kuwa TTCL ndio yenye infrancture kubwa kuliko kampuni zote za Mawasiliano nchi lakini bado haifikii Voda, Airtel na Tigo kwa mapato!Hilo gawio ni la mtaji huo mdogo,mtaji ukiwa mkubwa gawio litakuwa kubwa
Ila mtaji ukiwa mdogo huwezi kufanya expansio kubwa kama kuongeza mitambo n.k
Tatizo ni nini Unadhani?
Kubali tu ukiambiwa kuwa huku kutoa Gawio kwa Serikali ilikuwa ni Siasa tu ili MTU ajilinde!
Nitajie Kampuni Moja tu nchini ambayo imeishafutwa na kuvunjwa kwa kuchelewesha gawio LA serikali?
Walikuwa na haraka ama Dharura gani ya kutoa Gawio?
Si wangeomba muda ili Gawio litumike katika kuboresha ' Infrakcha' ili hatimaye kuleta Gawio kubwa zaidi?
TTCL imekwama na haisogei mbele kutokana na mawazo ya Kihenga kutoka kwa Wafanyakazi Wahenga wa Kampuni hiyo!
Hii inanikumbusha mno kuhusu alichopata kuandika Mdau mmoja wa iliyokuwa Kampuni yetu ya Ndege ya Wakati huo ya ATC Mzazi wa huyu ATCL.
Alisema kuwa anapopanda ndege za ATC alikuwa hana amani maana kuna wakati alikuwa anajikuta anahudumiwa na Air Hostess MTU mzima kiasi cha Mdau kujiuliza amuamkie 'Salamu Dada!' ama ' Shikamoo Mama!'
Ndivyo TTCL yetu ilivyo Sasa....
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app