Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mi nashangaa wanatoa gawio serikalini huku mtandao wao ukiwa na huduma mbovu ya intaneti kuliko mitandao yote, yaani nipo Dar tu ila kufungua hata picha ya Whatsapp ni mtihani kwa TTCLNamba hazidanganyi,
Kindamba kaikuta TTCL mahututi mbapaka sasa inatoa gawio serikalini. Tatizo kuu lilikua ni mtaji na hakupewa,anafanya maboresho kutokana na mtaji mdogo uliopo,hata awekwe mwingine hataweza kufanya zaidi ya huyu Kindamba.
Hizo hela kwa nini wasitumie kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app