dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,125
- 1,108
Swali zuri,hlf hizo taasisi ndogo anazozisemea ni km zipi kwa mfano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri,hlf hizo taasisi ndogo anazozisemea ni km zipi kwa mfano?
Mkuu, wanatoaje gawio wakati wana matatizo lukuki?Gawio ni jambo la kumpongeza mkuu, zaidi ya miaka 17 TTCL haikuwai kutoa gawio lakini kupitia DG Kindamba TTCL imefanikiwa kutoa gawio. kwa kweli ni jambo la kumsifia
Huu ndio Upumbavu walionishauri...... Nataka kuweka 1000... Naenda MPesa kuwaomba waniwekee Buku, buku nahamishia TTCL inakuwa tena ni Buku???Nunua kwa TPESA, yaani weka hela kwenye mpesa yako kisha itume kwenye ttcl then nunua bando juu kwa juu. Vocha ndo tatizo lao kubwa ni vyema this time wasitoe gawio kwa rais, hilo gawio watengeneze vocha wazisambaze nchi nzima.
Hahahaha, Mtoto wa ilala ,nami naishia hapaWaziri Waziri Kindamba,
Azania alumni 1999,
Mtaalam wa IT na kada wa Chama Tawala,
Wacha niishie hapa kwanza
Hili neno OUT limenikumbusha siku mzee Mapesa alipokuwa anawafukuza wanachama waliojaribu kufanya hujuma za kutaka kumpindua uenyekiti wa chama cha UDP Mapendo. Siku hiyo mzee Mapesa alikuwa anawafukuza wanachmaa kwa staili ya kusoma jina, halafu anasema OUT, yaani kwa mfano MAKANYAGA, OUT; KIBWETERE OUT,....Yaani ilikuwa burudani siku hiyo nilicheka mpaka karibia kuzimia!Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa.
Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje.
Kampuni haina ofa kwa wateja wake utadhani inauza nyanya.
Watoa huduma wa Costumer Care ndiyo ovyo baba, ukimpigia simu anakujibu oke, sawa, yes mpaka sometimea nafikiria kuwatongoz baba.
Huduma mbovu haziridhishi kabisa. Mtu yupo tu ofisini anapunga upepo hana hata hadhi ya kuongoza kampuni kama hiyo.
Tafadhali tunaomba umpe uongozi mtu mwingine mwenye huruma na Watanzania.
Mbaya zaidi mtu mwenyewe anamiliki hisa zake huko kwenye kamouni ya SMILE. TTCL ipo tangu 1993 hadi leo huduma ovyo.
Halotel wamekuja juzi tu hapa lakini wamekiwasha balaa mpaka wanyonge tunakimbilia kule.
Waziri Kindamba OUT
Unaiharibu TTCL yetu.
Yaani watoa huduma baada ya kutufuata sisi wao ndio wanataka sisi tuwafuate.
Asanteni
Anaondolewa ukakae weweShalom,

Ainisha ubovu wa huduma za TTCL.Tuanzia hapo kamanda!
mkuu next time weka hela kwenye T.PESA kisha nunua muda wa maongezi. Njia rahisi sana auHuu ndio Upumbavu walionishauri...... Nataka kuweka 1000... Naenda MPesa kuwaomba waniwekee Buku, buku nahamishia TTCL inakuwa tena ni Buku???
Kampuni zote wana Vocha kasoro TTCL pekee ndio hawana Vocha........
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wanatoaje gawio wakati wana matatizo lukuki?
Haingii akilimi kutoa gawio la billion 2 halafu kuomba trillion moja kuboresha shirika. Kuna kitu japo kidogo wangeweza kuanza kufanya na billion 2
Kwenye soko la telecom ni muhimu kuwa na njia mbalimbali za kusambaza muda vocha sokoni, hiyo inampa mteja mutple selection. Hakikikosa vocha ya kukwangua, anaweza nunua kupitia T,PESA au Banks au Selcom etc. Kwa ushindani uliopo sokoni huwezi ku-rely njia moja tuMojawapo ni ugumu katika upatikanaji wa huduma za vocha, vifurushi na mabando kwa mawakala mahali popote.
Havipatikani .
Yani eti inabidi ununue huduma ya M- pesa , au Tigo pesa au airtel kisha ndiyo ubadilishe kwenye T-Pesa ndiyo upate huduma ya TTCL.
Sasa kwa kufanya hivyo kunaongeza gharama za manunuzi na za kutokea.
Hapo ipo tatizo kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shareholder anapewa gawio kama kuna faida.Kumpa shareholder gawio lake at the same time unamuomba awekeze ni vibaya???
TTCL wana huduma nafuu ya internet hususani kwa laini ya chuo.Hakuna gharama ya kununua vifurushi vya TTCL kwa kupitia Tigo pesaMojawapo ni ugumu katika upatikanaji wa huduma za vocha, vifurushi na mabando kwa mawakala mahali popote.
Havipatikani .
Yani eti inabidi ununue huduma ya M- pesa , au Tigo pesa au airtel kisha ndiyo ubadilishe kwenye T-Pesa ndiyo upate huduma ya TTCL.
Sasa kwa kufanya hivyo kunaongeza gharama za manunuzi na za kutokea.
Hapo ipo tatizo kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mteja wa TTCL kwa miaka mingi, ninatumia simu ya mezani, natumia MI-FI na mobileHii wangefanya iwe standard kwa makampuni yote kama ilivyokuweka salio *104*...
Kuangalia salio TTCL ni mlolongo mrefu sana unachosha maswali kibao!!
Shareholder anapewa gawio kama kuna faida.
Tatizo gawio la Bongo ni lakisiasa si kibiashara. Ndiyo ya Chuo Kikuu cha umma kutoa gawio. Kwa biashara ipi ya faida?
Namba hazidanganyi,
Kindamba kaikuta TTCL mahututi mbapaka sasa inatoa gawio serikalini. Tatizo kuu lilikua ni mtaji na hakupewa,anafanya maboresho kutokana na mtaji mdogo uliopo,hata awekwe mwingine hataweza kufanya zaidi ya huyu Kindamba.