Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mkuu, tumelipa kidogo, halafu tumefanya makubaliano ya kuendelea kulipa kidogo kidogo..Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio kuachiwa, ni under what terms ineachiwa ndilo muhmuNdege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imeshikiliwa nchini Canada imeachiliwa, athibitisha Rais Magufuli asubuhi hii jijini Mwanza. Asema siku ya kupokelewa itatangazwa.
“Kwa taarifa tu, Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa, mtatangaziwa siku ya kuipokea na itapokelewa hapa Mwanza” Rais Dkt John Magufuli
Semina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)
Napata tabu sana kuelewa kwamba kweli mtu anaweza akawa na mawazo ya kipumbavu kama haya?Details za nini mkuu? Sasa hivi ni kushangilia na kusifu tu, baadaye hata tukiambiwa mkulima kalipwa tutashangilia vile vile, tena tutamsifu sana raisi wetu kuwa kafanya jambo la maana sana kwa kawaumbuwa mabeberu ambao walifikiri tutashindwa kulipa hivyo vijisenti vya hako kabeberiu kadogo ambako hakajaota hata ndevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania wote ni CCM. Kama siyo leo ni kesho.kwahiyo taarifa ni kwa watanzania wote au watanzania wanachama wa ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu ni muhimu ili walipakodi tujue kama tumesamehewa tupumue kuwa hela zetu zimeponaUsiruke makwanja hapa! Tunajadili ndege yetu inayo kuja ingawa Rais kaongea kwa unyonge bila kueleza imeachiwa kwa sababu zipi!
1. Tumeshinda kesi
2. Tumelipa deni lote
3. Mzungu kasamehe
5. Au makubaliano mengine?
Na safari hii atoe maelezo mwingine sio Kabudi, tumechoka uongo wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Saccos na yule Mwenyekiti mstaafu wa kama time ya hesabu za mashirika ya umma bungeni
Mzungu amelipwa mshiko wake! halafu kwa ufidhuli wa haya machinjachinja hayatasema yamelipa ngapi pamoja na kuwa ni kodi zetu.Hongera serkali ya awamu hii maana sio kwa midege hiii
Viva jpm
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zingine ulipewa Evidence?
Please, kama kuna mtu anajua jinsi ya kumweka mtu kwenye ignore list, saidia.Vipi msaliti inakuuma? Pole hali ndiyo hivyo waache na wengine wafurahi kama wewe ulivyofurahi ilipokamatwa huko Canada!
Hili suala limefanyiwa nje ya mahakama na Ndege ilikuwa itue siku ya Uhuru lakini mambo hayakwenda vizuriLeta ruling ya mahakama tusome kama unayosema ni ukweli. Mmezoea kudanganya awamu hii mtanyooka tu! Kama DJ Mbowe amenyooka mtakuwa nyinyi vidagaa!!
Mkulima kaambiwa ale pini tehteh shamra shamra za sherehe za uhuru zilikuwa ziende sanjari na ujio wa ndegeAs long as ndege ilizuiwa na mahakama proceedings zitaonyesha kama serikali iliomba wakakubaliane nje ya mahakama acha uongo kawadanganye mbumbumbu wenzako huko ufipa