Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

kwa kweli na kujifanya mwema kwelikweli poleni wapinzani hasa chadema na act mlifurahiiiiii na mamneno mengi ya kashfa

Ni hivi tulisem dawa ya deni ni kulipa, kama deni limelipwa ishikiliwe ili iwe nini kwa mfano? Naona umeona hakuna mwembemwembe za wanasheria wetu kushinda kesi. Mahakama za Canada hazitii amri toka juu.
 
Back
Top Bottom