Imeachiwa kwa conditions zipi
Naona watu wana bwabwaja na kuhorojoka sana hapa JF. Je tumemalizana na Steyn au bado ni mdai wetu kihalali? Ni muda muafaka wa kumalizana na Steyn ili tufocus kwenye vitu vigineWasaliti inawauma sana hii taarifa!
Umeona eh! Hivi huyu siui naye katokea wapiWapinzani ndiyo walikataa kumlipa mkulima fedha zake? Wewe hata mumeo akishindwa kukupachika mimba utasingizia wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
huna akiliHongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Mmh! Weye ndo wa kusema haya ?🤔Maendeleo hayana chama
Wapinzani ndiyo walikataa kumlipa mkulima fedha zake? Wewe hata mumeo akishindwa kukupachika mimba utasingizia wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli na kujifanya mwema kwelikweli poleni wapinzani hasa chadema na act mlifurahiiiiii na mamneno mengi ya kashfa
Ikikamatwa tunaambiwa, wakilipa ni kmya kimya hiyo haituhusu tena.Watuambie wamelipa shilingi ngapi!!
Aliyekuzaa anahasaraHongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
The ruling party !Sasa kwenda kiutangazia kamati ya ccm kwan ndege ni ya chama au watz wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Pinga pinga njoeni huku
Usiseme limelipwa ... tumelipa sawa we mkenyaUnapingwa na nani? Deni limelipwa jambo ambalo mlikua mnataka kuleta ubabe wa kijinga.
Mkuu hili swali lako siyo la kizalendo kabisa, wewe unatakiwa kushangilia tu ndege yetu imeachiwa. Hayo mengine hayakuhusu.Imeachiwa kwa conditions zipi
Duh! hii kiboko, amakweli bado tuna safar ndefu sanaTunamshukuru magufuli kwa kuiachia ndege ili irudi haraka bila kulipa hata Senti tano
Wapinzani wanahusikaje na hiyo Ndege wewe??? Utumbo afanye Mungu mtu wenu alafu ati wapinzani fala sana wee mtuHongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao