Ngoja vumbi litulie tuoneAtakua amelipwa kimya kimya, hawawezi kusema hawa manyang'au
mkuu vipi mkulima amelipwa mchongo wake?Bora wamemalizana na huyu mkulima, alikuwa anatudhalilisha na kulichafualia shirika letu la ndege jina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mafanikio nchi hii ni kwa ajili ya kuwaringishia wapinzani au kwa ajili ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kukuaHongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Mkuu, mara kwa mara unakuwa mchangiaji wa kwanza. Huwa unatumia mbinu gani?Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Kwani huyo mungu mtu wenu hizo pesa za kununua ndege anatoa mfukoni mwake?
Watuambie wamelipa shilingi ngapi!!
Mbinu za ukiherehereMkuu, mara kwa mara unakuwa mchangiaji wa kwanza. Huwa unatumia mbinu gani?
Hawatasema KamweWananchi tunahitaji kufahamu njia gani zimetumika kuwezesha ndege yetu pendwa kuachiwa, maana hatuhitaji kuendelea kupunguza route mfano Jburg. Tunataka kutanuwa mbawa ulimwengu mzima sio tuwe na route za mashaka mashaka kumuogopa kimkulima kimoja tu
Anazitoa ufipa kwa dictator mboweKwani huyo mungu mtu wenu hizo pesa za kununua ndege anatoa mfukoni mwake?
ni mbishi huyo dada balaa
Kwan walikwambia wanadaiwa shilingi ngapi. Kwama walisema ndege imekamatwa basi wanakwambia tena imeachiwa. Umbea mwingine Kama unataka vaa dera uende canada ukaulizie
M