Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Ndege ikikamatwa shida.....,ikiachiwa shida.....,ikinunuliwa shida.....halafu wanaoleta shida wengine wanasikiaga sauti za ndege za jeshi tu...
 
Wananchi tunahitaji kufahamu njia gani zimetumika kuwezesha ndege yetu pendwa kuachiwa, maana hatuhitaji kuendelea kupunguza route mfano Jburg. Tunataka kutanuwa mbawa ulimwengu mzima sio tuwe na route za mashaka mashaka kumuogopa kimkulima kimoja tu
 
Hizi Taarifa bado hazijitosherezi kama zile za South Africa .Maana hatukuambiwa kilichoendelea huko kama serikali imelipa au mshitaki kashindwa tena ???????
 
Wameamua kulipa kimyakimya,,ili kuepusha aibu ya akina Kabundi,WANYONGE wenzangu kwa ujuha wetu tunashangilia bila kujua ,kumbe wenzenu wamekaa chamber court.
 
Nakumbuka wakati mahakama ya SA ilivyoamua tulisomewa mpaka hukumu mbona leo wanaongea kishingo upande
 
Mimi mara hii siwezi tena kusafiria ndege zenu naogopa kusafiri hadi nchi fulani ndege ikazuiliwa halafu abiria tushushwe tutafute namna nyengine kuondoka ni usumbufu sana.
 
Back
Top Bottom