gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
ZAIDI SOMA:
www.jamiiforums.com

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...