Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Hahahaaaa wapi picha za mawakili nguli waliotumwa Canada. Dadeki lipa deni ndege irudi. Safari hii hakuna kabisa mapicha picha ya mawakili nguli wa Kabudi.
 
Tumemshinda 'beberu'?
tumefikia 'compromise gani?
Tumelipa?
Tumeshinda kesi?
'beberu' tutamdai fidia kwa hasara aliyotupa?
hazitakamatwa tena?
 
Hahaaaa
Details za nini mkuu? Sasa hivi ni kushangilia na kusifu tu, baadaye hata tukiambiwa mkulima kalipwa tutashangilia vile vile, tena tutamsifu sana raisi wetu kuwa kafanya jambo la maana sana kwa kawaumbuwa mabeberu ambao walifikiri tutashindwa kulipa hivyo vijisenti vya hako kabeberiu kadogo ambako hakajaota hata ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Usiruke makwanja hapa! Tunajadili ndege yetu inayo kuja ingawa Rais kaongea kwa unyonge bila kueleza imeachiwa kwa sababu zipi!
1. Tumeshinda kesi
2. Tumelipa deni lote
3. Mzungu kasamehe
5. Au makubaliano mengine?
Na safari hii atoe maelezo mwingine sio Kabudi, tumechoka uongo wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho inakuuma sana wewe na mbowe Leo mnalala na viatu


State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe Mbowe amewahi kukushikisha ukuta? Mbona hata mambo yasiyo muhusu wewe ni Mbowe,Mbowe!
Mbowe sio saizi yako, Mbowe saizi yake Magufuli. Na hilo wote mumeliona Mwanza, wakati kila anayesimama anaimba sifa yeye hakutoa sifa ya kinafiki hata moja zaidi ya kuwapongeza Watanzania na kuzungumza kilicho mpeleka tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom