imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo unaamini kuwa serikali imehurumiwa?Hamuishagi kutafuta sababu kwa kila kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unaamini kuwa serikali imehurumiwa?Hamuishagi kutafuta sababu kwa kila kitu.
Ss tz sio wazaledoErythrocyte,
MMM we bibi leo unaiandika hii taarifa bila kukejeli umekuwaje leo? wewe si ndiyo ulikuwa unakazia ule uzi siku kabudi alivyosema ndege imekamatwa ukaletwa uzi wa ajabu hapa ukafurahiiii hebu ficha sura yako basi uwe na aibu hata kidogo
Na Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Tangu 1980 mbona watangulize wake hawakumaliza made ya nchi huwezi malizaNaona watu wana bwabwaja na kuhorojoka sana hapa JF. Je tumemalizana na Steyn au bado ni mdai wetu kihalali? Ni muda muafaka wa kumalizana na Steyn ili tufocus kwenye vitu vigine
Atakua amelipwa kimya kimya, hawawezi kusema hawa manyang'au
Details za nini mkuu? Sasa hivi ni kushangilia na kusifu tu, baadaye hata tukiambiwa mkulima kalipwa tutashangilia vile vile, tena tutamsifu sana raisi wetu kuwa kafanya jambo la maana sana kwa kawaumbuwa mabeberu ambao walifikiri tutashindwa kulipa hivyo vijisenti vya hako kabeberiu kadogo ambako hakajaota hata ndevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema hayatuhusuAngeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence?Naona Jiwe kaamua Kuchota Hazina na Kumlipa. Canada siyo Afrika hawawezi Kufanya Upuuzi kama wa SA.
Usiruke makwanja hapa! Tunajadili ndege yetu inayo kuja ingawa Rais kaongea kwa unyonge bila kueleza imeachiwa kwa sababu zipi!Na Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Hivi wewe Mbowe amewahi kukushikisha ukuta? Mbona hata mambo yasiyo muhusu wewe ni Mbowe,Mbowe!Roho inakuuma sana wewe na mbowe Leo mnalala na viatu
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Good Question.
Good Question