Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za kutuma mawakili Afrika kusini si bora tusingemfukuza mkulima halafu tungeketi nae ili atupunguzie deni kimya kimya halafu mambo yangeenda bila chengaJino la mwisho la mkulima litakuwa linaonekana kwa kicheko cha furaha
Tuliwaambia itaachiwa mkasema mkulima anakabidhiwa hiyo ndege sasa limebuma naona kiroho chenu kinawauma kweli hasa msaliti namba moja Tundu Lissu. Awamu hii mtanyooka tu! Hapa kazi tu!!
Hongera lakini wamekosea sana kupokea ndege hio Mwanza. Ingependeza endapo ingepokewa Chato International Airport.Labda kwa sababu huwa wanafurahia zinapokamatwa
Leta proceedings za mahakama kama kweli amelipwa la sivyo utakuwa unatoa mapovu bure!!
Ignored
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
ZAIDI SOMA:
Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...www.jamiiforums.com
Lazima waanze kuvizia mkuu maana mkulima kasha wapa mwanga!Gharama za kutuma mawakili Afrika kusini si bora tusingemfukuza mkulima halafu tungeketi nae ili atupunguzie deni kimya kimya halafu mambo yangeenda bila chenga
Sasa huu ubabe utafanya hata wanaotudai wengine nao waende mahakamani
Halafu asset rahisi ni hizo ndege zetu zinazipasua anga
Shida yote imeletwa na mkuu wa nchi kusema kwa mbwembwe kuwa nchi ni tajiri na inafedhaLazima waanze kuvizia mkuu maana mkulima kasha wapa mwanga!
Sisi kama wanunuzi wa hizo ndege kupitia kodi zetu tunahaki ya kujua kilichojiri!Inside is for inner
Sio lazima kila kitu ujue
Itoshe kuambiwa imeachiwa